plas haule
New Member
- Jan 20, 2016
- 4
- 0
Naombeni kujua swala moja kuhusu matumizi ya umeme .
Je nikiunganishiwa umeme na TANESCO na nikaamua kutengenezea neutral nyingine nyumbani kwangu na kutumia live ya TANESCO.
Je luku yao itasoma garama ileile ya mwanzo au itapumgua.