Watumiaji wa sim za OPPO

Kimbioko

Member
Sep 6, 2020
73
96
Nimenunua simu aina ya oppo A37f kwa wachina wa Kikuu. Tatizo kila nikijaribu kuwasha data naona hairespond kabsa japokuwa inaonesha kwenye bar 3G. Je tatizo linaweza kuwa ni simu au settings tu. Mweny ujuz na uzoefu na hili msaada please.natumia line ya voda
 
Umetengeneza access point mkuu na kuactivate
 
Nimetengeneza Accesr tayri,ila nikiwasha data na niingie Play store inagoma inaandika"there was a problm communicating with google servers'
 
Nimenunua simu aina ya oppo A37f kwa wachina wa Kikuu. Tatizo kila nikijaribu kuwasha data naona hairespond kabsa japokuwa inaonesha kwenye bar 3G. Je tatizo linaweza kuwa ni simu au settings tu. Mweny ujuz na uzoefu na hili msaada please.natumia line ya voda
Kikuu? N'way umejaribu mtandao mwingine? Au ndo una laini 1 tu..
 
Nimetengeneza Accesr tayri,ila nikiwasha data na niingie Play store inagoma inaandika"there was a problm communicating with google servers'
Jaribu kuclear cache mkuu kwenye playstore halafu create access point nyingine
 
Reboot hiyo simu..au zima na kuwasha.. simu za oppo zipo vema sana pamoja na xiaomi..
 
Nimenunua simu aina ya oppo A37f kwa wachina wa Kikuu. Tatizo kila nikijaribu kuwasha data naona hairespond kabsa japokuwa inaonesha kwenye bar 3G. Je tatizo linaweza kuwa ni simu au settings tu. Mweny ujuz na uzoefu na hili msaada please.natumia line ya voda
Umeinunua sh ngapi kama ni zaidi ya lakimbili na nusu bora ungenunua tekno tu
 
Nimetengeneza Accesr tayri,ila nikiwasha data na niingie Play store inagoma inaandika"there was a problm communicating with google servers'
1. Umetengeneza Acess point ama umeikuta? Setting za wap na web zina tabia ya kukataa playstore sababu zina proxy ndani yake. Hakikisha kwenye Acess point kuna setting zenye Apn Internet ama tengeneza yako mwenyewe upya.

2. Inayokataa ni playstore tu ama data haipandishi kabisa? Website nyengine unaweza kuingia?
 
Sijui chakukuelekeza ukanielewa ila komaa na hapo kwenye access point mpaka uone sehemu utakayoweka PAP and CHAP

IPV4 & IPV6

APN NAME WEKA LOLOTE
TYPE WEKA INTERNET

PORT 8080 japo hata ukiacha sio kesi.

Kumbuka kuisave tuu
 
Back
Top Bottom