Tech, Gadgets & Science Forum

Technology based discussions. Computer, Science & Engineering Technology including gadgets and PC Gaming Discussions

On JF:

Hellow watu wangu wa games. kwawale wanao penda games tu share website mbali mbali za kucheza na ku dawnload PC GAMES Naanza na hizi; https://oceansofgamess.com/...
1 Reactions
5 Replies
1K Views
Habari wana JF, Nilichukua simu samsung s21 ultra hz used from dubai kama miezi 2 hv imepita ipo frexh sehem zote sema kimbembe kwenye laini aloo. Ninaweza kuwa naongea na simu au sometime nacheza...
0 Reactions
0 Replies
322 Views
Android ni mfumo endedhi unaotumiwa sana kwenye vifaa vya kielectronic kama vile simu za mkononi na vifaa vingine vya kielectronic . Utengenezaji wa application za simu za android ni mchakato wa...
2 Reactions
4 Replies
1K Views
Nipo mwanza nina simu ya xiaomi k50 nataka kutoa kwenye mfumo wa hyper os nirudi kwenye miui 14 au 13. Anaeweza njoo inbox tufanye kazi
1 Reactions
18 Replies
772 Views
Natanguliza shukurani kwa msaada katika shida hii Nawezaje kupata Sim Network Unlock Pin kwa simu ya Samsung, nikiwasha inakuja na pop up scree isemayo SIM unlock Network PIN, niki dismiss...
0 Reactions
18 Replies
8K Views
Wasaalam Natumai Hamjambo Kabisa...!! Wakuu nisaidieni jinsi ya ku connect DLS 2024 nataka kutembeza kichapo mahali halafu mtu nnaetaka kucheza nae yupo Marekani. Mie nipo Tanzania msaada tafadhali
1 Reactions
20 Replies
1K Views
Wanajukwa habari za wakati huu ndugu jamaa na marafiki natumai nyote ni wazima waafya .Lengo kuu la kuandika uzi huu nikuwaombeni msaada wale wataalamu wa maswala ya Technology and science in...
0 Reactions
4 Replies
905 Views
Hello Napataje subtitle ‘English’ kwa baadhi ya channel mfano Colors International na Star Life kwa Azam Tv Nimejaribu kila mbinu mpaka kifanya Factory reset lakini naambulia patupu 🥹🥹🥹
2 Reactions
9 Replies
28K Views
Tuko kwenye zama za kidijitali ambapo michezo ya video haipo tu kwa ajili ya kuburudisha. Zamani, ilikuwa kawaida kuona michezo ya video kama njia ya "kupoteza muda," lakini sasa, teknolojia...
1 Reactions
1 Replies
498 Views
Kwa wapenzi wa soka Weekend tukiwa hatuna mishe tunajifungia ndani tunaangalia mpira au tunasogea vibanda umiza kupata burudani,Mimi binafsi huwa naangalia mechi zote za jumamosi na jumapili,you...
19 Reactions
122 Replies
11K Views
Taasisi ya Kitaifa ya Afya na Ubora wa Huduma (NICE) ya Uingereza imesema teknolojia ya Akili Mnemba (AI), itasaidia kuongeza Uhakika wa Majibu ya Vipimo vya X-Ray kwakuwa ina uwezo wa kuona...
0 Reactions
0 Replies
516 Views
Wakuu naomba kuuliza. Je, ni kujaza wino kwenye printer hizi za kawaida za Tshs 400k-600k nitaprint kurasa ngapi Hadi wino kuisha na wino wa kuijaza printer unauzwa Tshs ngapi?
0 Reactions
3 Replies
939 Views
Kwema wakuu KIla kitu kina mapungufu yake na mazuri yake hapa nataka kueleza mapungufu zaidi. 1.Haina real time kabisa mpaka u refresh ndo uweze kuona message na notifications. 2. Kwenye...
6 Reactions
9 Replies
763 Views
Wakuu mwenye uzoefu wa hizi vitu anijuze mfano ni battery ya Gari 12V capacity 45A.H Mwanzo niliunga na solar now tanesco wameleta umeme nahitaji kuunda back up system na hizo battery iwe ina...
0 Reactions
5 Replies
4K Views
Wana jamvi salama? Leo nakuja na swali ambalo nimelifikiria muda mrefu, mzee wangu aliwahi kutumia huu umeme wa inverter ambapo unachaji kupitia umeme wa TANESCO na kuiwasha unapokatika au...
1 Reactions
11 Replies
4K Views
Katika dunia ya teknolojia ya hali ya juu, maroboti yanaweza kuwa na nafasi kubwa katika kutawala na kudhibiti nyanja mbalimbali za maisha ya wanadamu. Hata hivyo, iwapo teknolojia hii itakosa...
1 Reactions
14 Replies
547 Views
Kama inavyojieleza hapo juu simu yangu nimesahau pattern na sitaki kufuta vitu vilivyomo, msaada kama naweza kuifungua
1 Reactions
16 Replies
1K Views
Wakuu, Mimi ni mtu ninayependa sana technology na nimekuw nikifuatilia sana masuala ya technology. Kwa upande wangu sijasoma course yoyote officially ambayo iko related na masuala ya IT ila...
2 Reactions
4 Replies
542 Views
Habari wakuu, Katika matumizi ya vifaa vya kieletroniki basi huwa kuna style tofauti za maandishi hutumika au huwekwa humo na watengeneza vifaa hivyo. Ila kwa baadhi ya vifaa hivyo mfano simi za...
0 Reactions
1 Replies
285 Views
Hivi nikiwa nime-switch off TV namna hii na hicho kitaa chekundu kikawa kinawaka ina maana still TV inaendelea kutumia umeme na kumaliza luku yangu na ikikaa muda mrefu sana TV inaweza kuungua...
3 Reactions
10 Replies
668 Views
Back
Top Bottom