Tech, Gadgets & Science Forum

Technology based discussions. Computer, Science & Engineering Technology including gadgets and PC Gaming Discussions

On JF:

Mkombozi wa mablogger bongo ni Adsterra, lakini hizi siku kadhaa kama haifanyi kazi inasumbua hivi au nikwangu tu wakuu? Ukiachana na adsterra nani mwingine ana cpm nzuri maana monetag duuh...
0 Reactions
3 Replies
335 Views
𝗦𝗮𝗺𝘀𝘂𝗻𝗴 𝘇𝗶𝗺𝗲𝗱𝘂𝗸𝘂𝗹𝗶𝘄𝗮 Watumiaji wa simu za Samsung Galaxy mifumo Yao imedukuliwa na kusababisha changamoto kwa watumiaji wake. Processor ya Samsung Exynos imedukuliwa na wadukuzi na kuweka code...
4 Reactions
3 Replies
674 Views
Kama una mpango wa kudumu wa kupata dollar 100-200 kutwa kupitia app yako achana kabisa na google adsense[admob] wewe kiroho safi bila invalid wala pressure weka fb ads. Taratibu ndiyo mwendo...
8 Reactions
25 Replies
5K Views
Mkombozi wa mablogger bongo ni Adsterra, lakini hizi siku kadhaa kama haifanyi kazi inasumbua hivi au nikwangu tu wakuu? Ukiachana na adsterra nani mwingine ana cpm nzuri maana monetag duuh...
0 Reactions
1 Replies
230 Views
Rasmi sasa WhatsApp waruhusu kuedit message uliyoituma kimakosa au bila kuwa na makosa lakini ungependa kuedit vitu kama vile emoji n.k Ni uamuzi mzuri japo utaleta hoja kuhusu encryption ya...
2 Reactions
29 Replies
1K Views
Wakuu naomba kujua App ya Microsoft kali kwa gharama nafuu. Kila kitu cha Microsoft office nachofanya kwenye PC nifanye kwenye Tablet Nimejaribu Microsoft 365 App inanigomea. Nadhani tablet...
1 Reactions
3 Replies
515 Views
Wakuu sio wote tunao weza ku afford kununua super brand zenye quality kubwa kama JBL, BOSE, ENKER, SONY, ORAIMO nk nk Hata hivyo madukani zimejaa Chinese Bluetooth speakers nyingi za kila aina...
15 Reactions
66 Replies
5K Views
Habari wadau humu jukwaaani, Kama pengine kuna member ana simu tajwa hapo juu maybe imekufa mashine au shida ingine. Mimi mdau mwenzake nina uhitaji wa kioo cha simu kama hiyo, kama yupo...
1 Reactions
12 Replies
1K Views
Habari za mda wadau wa jf. Ndugu zangu mwaka jana nilinunua laptop aina ya dell latitude 3410 hapa kipindi nainunua niliikuta ikiwa na setup ambayo inaiwezesha kuwasha kwa kukunjua tu ile screen...
0 Reactions
15 Replies
1K Views
TikTok itafungwa 2025 TikTok itakutana na rungu nchini marekani ifikapo January 2025 itakua mwisho kutumika nchini marekani. Ikiwa byte dance atashindwa kuuza hisa zake kwa wamarekani...
0 Reactions
3 Replies
435 Views
Teknolojia hii balaa Kutana na jamaa mmoja anaitwa Tomas Vega mwanzilishi na mkurugenzi mkuu wa Kampuni ya Augmental, ameleta teknolojia mpya ambayo itaweza kuwasaidia wale watu wenye tatizo la...
0 Reactions
2 Replies
398 Views
Kama unapata shida Kufungua PM inaandika connecting ebu Fanya hivi Update crome yako au browser
0 Reactions
2 Replies
416 Views
Kampuni ya apple imesema itatoa Zawadi ya dola milioni moja kwa yeyote atakayeweza kudukua mfumo wao mpya wa seva za akili bandia (AI) kwenye apple intelligence. Kampuni hiyo iliweza kutangaza...
1 Reactions
12 Replies
815 Views
Habari wakuu,ninaomba msaada kwa wale wazoefu wa kuagiza vitu Aliexpress,nilinunua bidhaa tarehe 18/09/2024.Percel ikafka Dar es salaam Tanzania tarehe 28/09 mm nipo Mkoa wa Tabora nikajua...
1 Reactions
19 Replies
1K Views
Msaada Kwenye Mshale Unajazaje Hiyo Nafasi
0 Reactions
6 Replies
424 Views
Hello! Msaada jamani waliowahi kufanikiwa na hizi remote jobs Huwa wanatuambia njia zipi maana Huwa naapply cjawahi pata na nasikia Kuna watu wanapata tupeane Siri angalau tupate kupata kipato...
1 Reactions
7 Replies
1K Views
Njia ya kwanza ni [emoji116][emoji116] KUFANYA ACTIVATION WINDOW 10 NA WINDOW 11 Kompyuta Yako inadai activation? Umeshindwa kufanya Activation ya windows Kwenye kompyuta Yako ? Usijali Leo...
5 Reactions
10 Replies
1K Views
Binafsi mimi ni mpenzi wa muziki mno ninataka kesho nichukue JBL au Anker. Ila nasikia wadau wa muziki wanasema Anker ni nzuri zaidi kuliko JBL. Je, kweli kwa mliowahi tumia hizi bidhaa...
4 Reactions
59 Replies
7K Views
𝗕𝘂𝗻𝗱𝘂𝗸𝗶 𝗵𝗮𝘁𝗮𝗿𝗶 𝘂𝗹𝗶𝗺𝘄𝗲𝗻𝗴𝘂𝗻𝗶 Bunduki hatari ulimwenguni ni Ak 47 ambayo iligunduliwa miaka ya nyuma na mtu mmoja kutoka nchi ya urusi anaitwa Mikhail Kalashnikov. Wanasema Uvumbuzi ni kitu kizuri...
8 Reactions
22 Replies
2K Views
𝗝𝗲 𝘂𝗺𝗲𝘁𝗮𝗽𝗲𝗹𝗶𝘄𝗮 ?? Hivi unajua Jeshi la polisi nchini Tanzania lina app yake yenye kukusaidia kupata taarifa mbalimbali kupitia simu yako kwa urahisi na inafanya kazi kwa asilimia 💯. Tuko kwenye...
1 Reactions
0 Replies
357 Views
Back
Top Bottom