Tech, Gadgets & Science Forum

Technology based discussions. Computer, Science & Engineering Technology including gadgets and PC Gaming Discussions

On JF:

Yan da! king,amuz cha continetal raha sana yaan machanel buree kabsaaa! hulipii chochote
0 Reactions
37 Replies
6K Views
Ndugu wanajamvi naitafuta dicoda ya continental ya dishi kama Kuna mtu anayo aniambia tufanye biashara nitainunua katokea kwake
0 Reactions
17 Replies
4K Views
Jamani nisaidie namna ya ku-download pdf reader niweke kwenye computer yangu. Najaribu inanileta mara pitia yahoo, facebook etc Docs nyingi ni pdf hivyo bila hiyo it is useless!
0 Reactions
1 Replies
1K Views
hello wadau naomba kuelekezwa sehemu ambayo nitaweza pata charger ya laptop ya HP probook 450 g2..Mimi nakaa kanda ya kasikazini
0 Reactions
0 Replies
535 Views
Wana JF naomba msaada PC yangu hapa iki sleep basi hata nikibonyeza mara moja power button haiwaki inataka niizime kwa (hardpowerOffbutton) ndio iwake tena.Tafadhali mwenye idea anisaidie hapa
2 Reactions
2 Replies
585 Views
Habari za wakati huu wakuu?Nimekuja kwa mara nyingine kuomba msaada,nina laptop ya hp,RAM yake ni 2GB,HDD 320GB na processor ni 1GHz AMD.Sasa hivi ina tatizo la kutozima,nikizima kabla...
0 Reactions
15 Replies
1K Views
Habarini wadau. Nataka kununua laptop kwa ajili ya kazi zangu lkn pia iweze kusukuma games nzito mpya kama modern warfare battlefield. Kuna Lenovo thinkpad ina 8gb ram core i5. Kuna mwenye uzoefu...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Mfano link inaweza kuwa Facebook - Connexion ou inscription na mimi nataka mtu akiiona hiyo link isomeke hivi BONYEZA HAPA. Msaada wakuu
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Habari wanaJF, nimejaribu kutafuta activator ya adobe dreamweaver CC nimekosa mwenye nayo anisave.
0 Reactions
0 Replies
550 Views
Naomba msaada humu JF alietumiwa software ya ku decrypt mafile yaliyoharibiwa na .cerber3 tafadhali,baada ya yule wa jana sasa na mimi nimeliwa leo huenda kesho zamu yako. Sijaelewa hawa jamaa...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
I've been see many people nowadays they complain about this ceber3 Ramson ware here are some tips. Is it possible to decrypt files encrypted by Cerber3 ransomware? No , at this time it’s not...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Nahitaji app au software ambayo naweza kuhack cm pasipo muhusika kujua for both iOS Na androids
2 Reactions
4 Replies
1K Views
habari wakuu. nina simu ya nokia lumia 521 ambayo imekuwa locked kutumika kwa line za T MOBILE na ningependa kufahamu kama naweza kupata namna ya kuifungua iweze kutumia line zote kwa sababu...
1 Reactions
2 Replies
728 Views
Msaada jamani ; Nilifungua group language la whatsapp la miziki na kulitangaza vizuri tu likawa maarufu. Niliweka maadimini kadhaa kulingana na mahitaji lakini kilichonishangaza kuna siku...
3 Reactions
61 Replies
14K Views
Natanguliza shukrani , nilikuwa nahitaji msaada kwa mtu anaeweza kutengeneza sabuni za kuoshea chooni, nilipenda zaidi na mm kujua jins ya kufanya ili niweze kutengeneza pia,
0 Reactions
0 Replies
4K Views
Nimekuwa nikisoma a lot in science , sijawahi kuona mahali mwafrika aliweza kugundua lolote katika dunia ya sayansi. I might be wrong, sijui!!!! Tufanyeje waafrika? Angalia attached list
0 Reactions
39 Replies
3K Views
habari ya siku wanajamii,, nina laptop aina ya dell E5400 32-bit operating system,, 2gb ram,, shida yangu kubwa ni namna gani nitaweza kuweka sim card na kuiwezesha ifanye kazi kwenye hii laptop...
1 Reactions
11 Replies
9K Views
Naomben msaada kwa hili Nina pc Toshiba satellite 2core 4gbRam storage capacity 500gb mwanzon nilikuwa nacheza game ya a ina yoyote lakin Sara fifa 14. Tu linakuwa slow nimejatibu kubadili window...
0 Reactions
4 Replies
591 Views
Mjasiriamali Elon Musk ametangaza mpango wake wa kuunda makao ya binadamu katika sayari ya Mirihi (Mars kwa Kiingereza),ingawa wanaotaka kunufaika watahitajika kulipa pesa nyingi. Tiketi ya...
1 Reactions
26 Replies
4K Views
Wadau heshima kwenu. Kama kichwa cha habari kinavyo jieleza, naomba msaada wa keys za SPSS version tajwa hapo juu. Asanteni sana
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…