King'amuzi cha Continental

Mwimbe CL

Senior Member
Aug 22, 2013
147
96
Ndugu wanajamvi naitafuta dicoda ya continental ya dishi kama Kuna mtu anayo aniambia tufanye biashara nitainunua katokea kwake
 
ina nini Mkuu! Maana sisi tulio na vingamuzi vyao ni Majanga matupu, mpaka local chanel unalipia? Bora mara 10 mchina.
 
Nimependa channels zao za star movies, star drama, star intertiment na nyinginezo piaa napenda namna ya kulipia hawaja gawanya vifurushi Wana kifurushi kimoja tuu na bei ni moja tuu pia unaweza kulipia kwa siku, wiki au mwezi kutokana na uwezo wako kitu ambacho hakuna king'amuzi chochote chenye utaratibu huu wa malipo
 
Ila hawana local chanel hata kwenye decoda ya antena. Alafu ikikata wanasumbua hata ukilipia. Yaani ni kero mtindo mmoja
 
Ni kweli kwa basi tunaweza kufanikisha
Gharama ya kutuma inaanzia elfu 10, ukifika ofisi za basi husika unapewa namba ya mzigo wako, unaandika jina la unaemtumia, namba ya simu ya mpokeaji, mahali mzigo unapotoka na unapoenda, Baada ya hatua hizo unatumiwa namba ya mzigo wako ili ukaupokee kwenye ofisi za basi husika.
 
Utajuta, wanazo channel karibu kumi zote za sahara media. Sasa baaasi... Tatizo ni VIPINDI VINARUDIWA RUDIWAAAA. bora startimes. Nimebaki na kingamuzi chao kwaajili ya kuPlay movies za kwenye external HDD tuu. Mambo mengine yote ni kwa MCHINA
 
Attachments

  • WP_20160404_18_22_13_Pro.jpg
    WP_20160404_18_22_13_Pro.jpg
    81.2 KB · Views: 74
Utajuta, wanazo channel karibu kumi zote za sahara media. Sasa baaasi... Tatizo ni VIPINDI VINARUDIWA RUDIWAAAA. bora startimes. Nimebaki na kingamuzi chao kwaajili ya kuPlay movies za kwenye external HDD tuu. Mambo mengine yote ni kwa MCHINA
Zipo channels nzuri hasa za movies kama zile za box film na star movies + na zipo za music nk nimezipenda
 
Back
Top Bottom