xaidjr
JF-Expert Member
- May 29, 2016
- 392
- 468
Naomben msaada kwa hili Nina pc Toshiba satellite 2core 4gbRam storage capacity 500gb mwanzon nilikuwa nacheza game ya a ina yoyote lakin Sara fifa 14. Tu linakuwa slow nimejatibu kubadili window wapi nlikuwa na window 10 ilikuwa inacheza poa now baada ya mda likaanza kuleta mapichapicha nkabadili window seven lakin bado linacheza ila sometime linakuwa slow plz mwenye ujuzi kwa hili anisaidie nakuwa bored kwel akat gaming ndo my fantasy.