mirindimo
JF-Expert Member
- Nov 2, 2009
- 1,100
- 2,394
Naomba msaada humu JF alietumiwa software ya ku decrypt mafile yaliyoharibiwa na .cerber3 tafadhali,baada ya yule wa jana sasa na mimi nimeliwa leo huenda kesho zamu yako.
Sijaelewa hawa jamaa wanauhusiano gani na bitcoin,inakuaje wanataka pesa kwa nguvu kutoka kwa watu aiseee this is not fair at all
Sijaelewa hawa jamaa wanauhusiano gani na bitcoin,inakuaje wanataka pesa kwa nguvu kutoka kwa watu aiseee this is not fair at all