MSAADA:LAPTOP HAIZIMIKI

MSAADA:LAPTOP HAIZIMIKI

Athed Jnr

Senior Member
Joined
Jul 27, 2016
Posts
150
Reaction score
68
Habari za wakati huu wakuu?Nimekuja kwa mara nyingine kuomba msaada,nina laptop ya hp,RAM yake ni 2GB,HDD 320GB na processor ni 1GHz AMD.Sasa hivi ina tatizo la kutozima,nikizima kabla haijazimika,inaanza kujiwasha tena,natumia windows 8.1,nisaidieni njia za kuondoa tatizo hili.
 
Ondoa Betri Kisha Lirudishie hakikisha Kila siku kama hujazima PC uwe unafunga program zote then una refresh halafu ndo unaizima.
 
Kama walivyo eleza wakuu hapo juu. Kwa solution ya haraka toa betri... Tatizo likijirudia window inamatatizo so badilisha
 
Mimi lilinikumba hilo nikaweka bundle la kutosha nikaupdate kila kitu sasa hivi inazima na charge inakaa nayo saana tu
 
walichoeleza wote hapo juu n sahh.
ikishndkana tafuta window Activator, then Activate your window.
 
Window ilyoweka n incompatible sema umelazmisha Fanya kuweka 8 kushuka chini mkuuuu
 
Window ilyoweka n incompatible sema umelazmisha Fanya kuweka 8 kushuka chini mkuuuu
ilikuja na windows 8.1,baadae ikawekwa windows 10,kisha nikaiweka tena windows 8.1,amdayo ndo inasumbua kwa sasa
 
Back
Top Bottom