Yan da! king,amuz cha continetal raha sana yaan machanel buree kabsaaa! hulipii chochote
Mimi natumia receiver tofauti na ya continental lakini napata chanel zao zote hao tena bure za bongo zote tena mpaka agape, fire, kwanza, morningstar na za nje nyingi sana zinafika mpaka 70
Yan da! king,amuz cha continetal raha sana yaan machanel buree kabsaaa! hulipii chochote
Natumia ungo wa Euromax na receicer iitwayo Wiztech napata napata 22 ndani ya continental na nyongza zinazofika karibu 40 na kitu
hapo unatakiwa upate chanel zaid ya 100 ila dish lako liwe ft3Natumia ungo wa Euromax na receicer iitwayo Wiztech napata napata 22 ndani ya continental na nyongza zinazofika karibu 40 na kitu
location mkuu nijue..
Ahsante bwana Diallo ila hatununui
Makelele yenu ndo yanatuponza kila siku
Uko sawa mkuu watu wengine sijui wakoje hawajui kuwa hii ni kwa muda tu