mwanajamii1
Member
- Sep 26, 2010
- 15
- 7
Habarini wadau. Nataka kununua laptop kwa ajili ya kazi zangu lkn pia iweze kusukuma games nzito mpya kama modern warfare battlefield. Kuna Lenovo thinkpad ina 8gb ram core i5. Kuna mwenye uzoefu na hiyo mashine? Na je Nikichukua i5 yenye ram 4gb itanizingua kwenye gaming?