MAMLAKA ya Mawasiliano Tanzania (TCRA) imepiga marufuku uingizaji na usambazaji wa simu za mkononi za Smartphone Samsung Galaxy note 7 kwa kuwa zina matatizo ya betri.
TCRA pia imewataka wananchi...
App za kwenye simu huwa nzuri na hupendwa na watu kama ukipata wazo zuri la kuweka katika hiyonapp.
Sasabasi mimi nimepata wazo na kwa mujibu wa mawazo yangu na watu wangu wa karibu...
Nilinunua friji yangu aina ya candy kubwa mtumba nikaiwasha kwa 3 month bila tatizo shida niliyoiona ni thermostat ilikuwa hijizimi na kuwaka kama nyngn, tatizo limejitokeza baada ya kuizima...
Wakuuu na wataalam humu ndani poleni na majukumu....jamani nisaidieni,haka ka simu kangu nimekaflashi mwenyewe lakini touch screen haifanyi kazi vizuri,yani uki touch sehemu unapohitaji yenyewe...
Salaam wadau,
Sasa bana, kuna mtu nataka nimuaibishe kwa uongo na uzushi wake.
Hivyo ninahitaji msaada kidogo. Msaada wenyewe ni jinsi ya ku recover baadhi ya picha nilizopiga na simu yangu...
Habari za Leo wana JF
Naomba msaada wa kiufundi wa king,amzi cha startimes
Asubuhi kilikuwa kinaonesha
Muda huu hakioneshi
Kimeandika MANENO haya
Attention
E07:channel list emply...
mwongozo huu ni jinsi ya kuondoa matangazo kwenye app.
vilevile unajumlisha kutumia inapp purchases bure, kuondoa google license na kuzuia app kutumia internet background kwa zile app unazohisi...
1. stethoscope
2. BP machine
3. themometer
4. patella hummer
Hivyo vifaa inatakiwa niende navyo chuo maana vime ambatanishwa katika form, sasa sijajua vinauzwa sh. ngapi pia vinakopatikana...
Heshima zenu wakuu komputa yangu na simu yangu imevamiwa na kirusi cha ajabu nikichomeka memory card mafaili yote yanageuzwa na kuwa ma folder mengi zaidi ya mia yenye jina la...
Mi naomba msaada wa kutoa Matangazo kwenye app niliyo install kwenye simu yangu natumia tecno c9 yaani mfano nimedownload AVG AntiVirus basi unakuta kunapicha za video wadada wanchezea simu...
Baada ya kickass kufungiwa nini imekuwa mbadala wake ...mimi ni kama naumwa week ya pili sasa sina hamu ya kitu chochote. na kazini nako nimeom ruhusa maana sina hata raha ya kufanya kazi baada ya...
Wakuu ilikua mwaka Jana mwezi December ndipo nilijiunga na Halotel na kuanza kutumia Huduma ya internet yenye kasi kubwa lakini baada ya takriban miezi 11 sasa nimeona iko slow kwa Mimi ambaye...