SAYANSIKIMU
JF-Expert Member
- Feb 27, 2014
- 1,132
- 260
Heshima zenu wakuu komputa yangu na simu yangu imevamiwa na kirusi cha ajabu nikichomeka memory card mafaili yote yanageuzwa na kuwa ma folder mengi zaidi ya mia yenye jina la uuuuuuu.uuuuu.
Ubaya wa haya ma folder mengi hayafutiki. Kirusi hiki ni jeuri maana hata kama niki format memory card naka weka vitu vipya nikarudisha kwenye simu bado mafaili yote yanageuzwa kuwa uuuuuuuuuu.uuuuuuuu ,
Nikichomeka upya na kuingiza kwenye PC nakuta uuuuuu.uuuu. Nime format memory card nimescan computer mara nyingi lakini kirusi huyu hafi tu.
Wakuu naombeni msaada. Nahitaji kujua hili tatizo linasababishwa na nini, Pia nita mtoaje huyu kirusi . Pia nifanyaje niilinde Pc ,Simu yangu ,Flash na memory card dhidi ya huyu kirusi.
Natanguliza shukrani wakuu.