Kampuni ya Sumsung yasitisha uzalishaji wa Galax Note7

Kampuni ya Sumsung yasitisha uzalishaji wa Galax Note7

RingaRinga

JF-Expert Member
Joined
Jul 10, 2015
Posts
1,052
Reaction score
529
Imeeleza kuwa sim hizo zinatatizo katika mfumo wa injini zake ambalo hisababisha kulipuka au kuungua wakati mwingine kusababisha madhara makubwa kwa watumiaji wake.

Kazi kwenu watumiaji wa Note7

Chanzo BBC DIRA YA DUNIA
 
Je kampuni italipa fidia kwa walioathirika na matatizo ya sim hizo?
 
Wanasema galax note7 haitauzwa tena wala haitatengenezwa tena.
 
Kwamba watumiaji wake wanashauriwa kuzizima na kuacha kuzitumia mara moja.
Sababu kubwa ni tatizo katika betri yake ambayo huwaka moto.
 
Wamesema watumiaji wote wa sim hii warudishe kwa mawakala wa sumsung na watapewa nyingine
 
Imeeleza kuwa sim hizo zinatatizo katika mfumo wa injini zake ambalo hisababisha kulipuka au kuungua wakati mwingine kusababisha madhara makubwa kwa watumiaji wake.

Kazi kwenu watumiaji wa Note7

Chanzo BBC DIRA YA DUNIA Jioni hii
(Unaeza kufuatilia sasa hivi kwa kuwa uchambuzi wa taarifa hiyo utaelezwa baadae kidogo)
Yangu ni Grand 2 mbona na yenyewe bettery inawaka moto? Vipi imeshasemwa pia?
 
nokia wanhekuwepo wange take advantake kupitia huo udhaifu....
 
Mnakimbilia masimu makuubwa wakati kuna tecno [emoji17] [emoji17] [emoji124]
 
Back
Top Bottom