God'sBeliever
JF-Expert Member
- Sep 1, 2015
- 5,788
- 3,068
Natumia line ya Zantel sasan najiuliza waliona ugumu gani kuweka hiyi sim card? imeandikwa cdma.
Huko cdma kuna kitu gani kipya sana wasiweke line?
Hizo simu za cdma ndo zikoje wakuu? inamaana nazo hazitumii line?
Ttcl nao naskia ni cdma hizo line zao ni kweli zipo na zinaingia kwenye simu? wana huduma za kutuma na kupokea pesa kama wenzao mfano mpesa, tigo pesa n.k?
Msaada plz.