Msaada wa haraka unahitajika

Msaada wa haraka unahitajika

proxy

JF-Expert Member
Joined
Jul 3, 2016
Posts
1,481
Reaction score
1,355
Naombeni mwenye uelewa na hili anijuze, ni namna gani naweza weka link ya folder kwenye html, ili mtu akibofya hiyo link then ifunguke na kudownload files za pdf zilizopo ndani ya hiyo folder, najua namna ya kuweka link ya file moja moja, lakini ninachotaka niziweke kwenye folder moja.
 
Unatakiwa ujue path ya hilo folder, mfano lipo root/magari/toyota unaeka tu link ya hilo folder.

Code:
<a href="http://websiteyako/magari/toyota"> here </a>

au kama ni hapo hapo ndani ya website unaweza ukatoa jina LA website.

ila jua ukilink folder kunakuwa hakuna user interface nzuri, mafile yatakuwa tu plain,
 
Naombeni mwenye uelewa na hili anijuze, ni namna gani naweza weka link ya folder kwenye html, ili mtu akibofya hiyo link then ifunguke na kudownload files za pdf zilizopo ndani ya hiyo folder, najua namna ya kuweka link ya file moja moja, lakini ninachotaka niziweke kwenye folder moja.
Navojua hauwezi download folder!

Ukibonyeza Link ya folder itafunguka page nyingine ikionesha contents zilizo ndani ya Folder!

Na hapo mtu itambidi kudownload file moja moja!

alternative inaweza kuwa kuset function ya kuli zip kwanza kisha mteja akarudishiwa URL ilokua zipped hapo atapakua contents zote za folder.

sijui kama nimekupata vyema
 
Sio a download folder nataka akiingia ndani ya folder ndipo aweze download au kuviewer pdf file
 
Back
Top Bottom