Justine_Dannie
JF-Expert Member
- Dec 1, 2014
- 1,962
- 1,622
Habarini jukwaani,
Kabla sijaenda kwenye tatizo naomba kukiri kwamba Mimi ni mshamba wa Apple devices..Ila ukali wangu wote ni kwenye device zitumiazo Android OS.
Kwa kama mwezi Sasa natumia iPhone 4s Na nimeipenda sana kwa kuanzia kabla sijaenda up level.
TATIZO
nikiingia iTune store nakutana Na Ujumbe ulisema "open the iTunes U App" nikifungua nakutana Na "Cannot Connect to iTunes Store"
Shida ndipo ilipo maana nimejaribu kusoma Articles mbalimbali mtandaoni Na nimejaribu kufuata maelekezo yake lkn bado nimeambulia patupu.
Sasa naombeni msaada jamani kwa anaejua la kufanya ili nipate ku_connect iTunes stores.
ASANTENI.