Aborder LCD tv

Aborder LCD tv

kituli one

JF-Expert Member
Joined
Feb 25, 2014
Posts
410
Reaction score
313
Mwenye kuzifahamu aina hizi za tv naomba anipe abc zake maana nataka kununua,je zipo vizuri?
 
kaka ungeandika specification zake na bei ili kama kuna alternative nzuri watu wakuambie sababu hapo hata mtu kukushauri hajui aanzie wapi
 
Lcd ni nzuri ila bora utumie ambazo ni led(light emiting diode) ndo nzuri maana hata joto linalozalishwa na izo tv dogo xana ukilinganisha na lcd ambazo zinatumia bulb
 
Na mimi nipeni mrejesho wa hizo aborder tv maana naziona zimejaa mjini sasa
 
Back
Top Bottom