Uzi maalumu kwa ajili ya kujifunza namna ya kutengeneza Android Apps

mwaminifuhalisi

mwaminifuhalisi

JF-Expert Member
Joined
Feb 26, 2017
Messages
331
Likes
291
Points
80
mwaminifuhalisi

mwaminifuhalisi

JF-Expert Member
Joined Feb 26, 2017
331 291 80
2312719-a6.jpg

Katika thread hii tutajifunza namna ya kutengeneza application za android "from the scratch", Japokuwa kuna "platforms" mbalimbali mtandaoni ambazo zinaweza kumsaidia mtu yoyote kuunda apps hata pasipo kuwa na ujuzi wowote kuhusu programming, hapa itakuwa ni tofauti.

Imani yangu wale wote ambao watakuwa na mwamko wa kujifunza kuunda apps za android ni kwamba wana ufahamu wa kufanya programming kwa kutumia JAVA ama OOP language yoyote na pia wana uelewa hata kidogo kuhusu xml (eXtensible Markup Language).

Mtindo ambao tutajifunza ni kwa namna ya ku-develop projects (apps) mwanzo mwisho, na tutakopofika ukingoni mwa mafunzo haya ningeomba tushirikiane kwa pamoja kuunda app ambayo itakuwa nzuri na kisha tuunde hata team ambayo tutaweza kuunda apps mbalimbali.

zifuatazo ni projects ambazo tutazifanya kupitia uzi huu.
1. Welcome App

2. Android Media Player

3. Tip Calculator App

4. Music Event App

5. Ubber Clone

6. Messaging App (Whatsapp Clone)

7. Flag Quiz App

9. Cannon Game App

10. Weather App

11. Media, Videos and Sound Apps

12. Instagram clone

Karibuni nyote.
 
kapesly

kapesly

Senior Member
Joined
Jan 1, 2017
Messages
181
Likes
101
Points
45
kapesly

kapesly

Senior Member
Joined Jan 1, 2017
181 101 45

Nakaribisha kumbe wewe mwenyewe hujui, Mimi nilidhani nakuja kuona Codes za XML na strings zake zinavyoshushwa class to class za hex

Kumbe null
Kama manifest ya freebadics.com app
Lol, tanzanian (include me) washazoea kutafuniwa tyu, mtu analipwa mshahara kaja na idea aliyoikopy google ya database za ukusanyaji kodi za nyumba ya mzee wake halafu anamwambia nimefanya bure, wakati had I wifi alikuwa anatumia freely , humu jf wamejaa experter kibao about apps coding likin wametulia kama Nokia kuhusu symbian, jamani watanzania mmbadilike hata kama umepata kidogo muwe mnakihelehele kama cha Tiecno(vigezo na masharti nafuata wasijetaka kunitafuta wenye brand) kuingiza sokon hiyo itachochea uvumbuzi mwing
Acheni uchoyo
Uchoyo sumu
Sumu ilimuua kaka Libya
Kuwa muwazj kama Dada China
Na usiogope kama anko north.Korea
Nitume kama anti japani
Kuwa na kauli kama bibi urusi
Lakini kuwa mtulivu mwenye vingi vya kuongea kama step.mom British
Na
Sema kwa uhakika kama mama wa kufikia German..

Lakini usikubali kuwa inferior kama mzazi Afrika.....
Washangaze watu kama mnafiki kaka mkubwa amelikoCode<finish*/>
<*ask*="?"*/>
<kesho*/>. Echo <najibu/strings.xml//
"Upuuzi"<$>
<=[ ] <{null"*/}>
>acha kusoma"=class.e"**/
>
>
>.
 
ub16

ub16

JF-Expert Member
Joined
Feb 19, 2013
Messages
391
Likes
48
Points
45
ub16

ub16

JF-Expert Member
Joined Feb 19, 2013
391 48 45

You sound like you came here to spit that you understand the basics of android resource files, and whatever you said next makes no sense.
 
kapesly

kapesly

Senior Member
Joined
Jan 1, 2017
Messages
181
Likes
101
Points
45
kapesly

kapesly

Senior Member
Joined Jan 1, 2017
181 101 45
You sound like you came here to spit that you understand the basics of android resource files, and whatever you said next makes no sense.
Can you shut up....your finger to type trash lk above
So
So
So sorry leaner,
Did you even have any app in googleplay just like my stdnt, sorry contne to use appygayser.com
Code need much attention, brave one, creative man,
Siyo nyny mitu ya bongo anything must ask google
I don't think even you know oracle
 
<?xml version="1.0" encoding="utf-8" ?>
<network-security-config>
<base-config>
<trust-anchors>
<certificates src="user" />
<certificates src="system" />
</trust-anchors>
</base-config>
<debug-overrides>
<trust-anchors>
<certificates src="user" />
</trust-anchors>
</debug-overrides>
</network-security-config
 
mwaminifuhalisi

mwaminifuhalisi

JF-Expert Member
Joined
Feb 26, 2017
Messages
331
Likes
291
Points
80
mwaminifuhalisi

mwaminifuhalisi

JF-Expert Member
Joined Feb 26, 2017
331 291 80
SEHEMU YA KWANZA: MAHITAJI(TOOLS) YA KUWEZA KUFANIKISHA UUNDWAJI WA ANDROID APPS
Kuna programu kadhaa ambazo zinahitajika ili kuweza kuunda hizi apps, programu hizo ni kama zifuatazo.

1. kompyuta inapaswa iwe na JAVA Development kit (JDK),
Apps za android kwa asilimia kubwa huundwa kwa kutumia java hivyo ni vizuri ukapata SDK ya javaa ambayo ni latest kabisa, unaweza kuipata kwa kutumia link ifuatayo,
Java SE Development Kit 8 - Downloads

2. Android SDK ambayo imeambatanishwa na Android Studio IDE
Hizi tooks zipo kwa ajili ya platform(OS) tofauti tofauti, kwangu mimi nitakuwa natumia windows na si linux lakini ukitaka kwa upande wa linux pia zipo.
Android Studio ndio ambayo tutaitumia katika kuandika codes, hii ni IDE rasmi ya android kwani zamani Eclipse IDE ndio iliyokuwa inatumika.
links.
kwa ajili ya windows,
Download Android Studio and SDK Tools | Android Studio
 
mwaminifuhalisi

mwaminifuhalisi

JF-Expert Member
Joined
Feb 26, 2017
Messages
331
Likes
291
Points
80
mwaminifuhalisi

mwaminifuhalisi

JF-Expert Member
Joined Feb 26, 2017
331 291 80
TUJARIBU KAMA TOOLS ZINAFANYA KAZI IPASAVYO.
Natumai umeweza kuinstall hizo tools pasina na tatizo lolote, fungua Android studio hiyo android na kwa mara ya kwanza utakutana na inteface ya namna hii,
1-png.528850

Chagua "Start a new Android Studio project", Baada ya hapo itakuja muonekano ufuatao
2-png.528872

Hiyo sehemu ya application name unaweza kuipa jina lolote ambalo unalolita, badala ya hapo utabonyeza next, na itakuja interface ifuatayo,
3-png.528876

Na baada ya hapo bonyeza next na itakuja interface ambayo itakutaka kuchagua muonekano wa jumla wa app yako jinsi itakavyoonekana kwenye simu ama tablet na utachagua "empty activity". na utabonyeza next na kisha finish.
4-png.528877
 
ub16

ub16

JF-Expert Member
Joined
Feb 19, 2013
Messages
391
Likes
48
Points
45
ub16

ub16

JF-Expert Member
Joined Feb 19, 2013
391 48 45
Can you shut up....your finger to type trash lk above
So
So
So sorry leaner,
Did you even have any app in googleplay just like my stdnt, sorry contne to use appygayser.com
Code need much attention, brave one, creative man,
Siyo nyny mitu ya bongo anything must ask google
I don't think even you know oracle
I had a good chuckle on this one. Move along with your "buzzwords"
 
I

Isack Michael

Senior Member
Joined
Jan 12, 2017
Messages
121
Likes
18
Points
35
I

Isack Michael

Senior Member
Joined Jan 12, 2017
121 18 35
2312719-a6.jpg

Katika thread hii tutajifunza namna ya kutengeneza application za android "from the scratch", Japokuwa kuna "platforms" mbalimbali mtandaoni ambazo zinaweza kumsaidia mtu yoyote kuunda apps hata pasipo kuwa na ujuzi wowote kuhusu programming, hapa itakuwa ni tofauti.

Imani yangu wale wote ambao watakuwa na mwamko wa kujifunza kuunda apps za android ni kwamba wana ufahamu wa kufanya programming kwa kutumia JAVA ama OOP language yoyote na pia wana uelewa hata kidogo kuhusu xml (eXtensible Markup Language).

Mtindo ambao tutajifunza ni kwa namna ya ku-develop projects (apps) mwanzo mwisho, na tutakopofika ukingoni mwa mafunzo haya ningeomba tushirikiane kwa pamoja kuunda app ambayo itakuwa nzuri na kisha tuunde hata team ambayo tutaweza kuunda apps mbalimbali.

zifuatazo ni projects ambazo tutazifanya kupitia uzi huu.
1. Welcome App

2. Android Media Player

3. Tip Calculator App

4. Music Event App

5. Ubber Clone

6. Messaging App (Whatsapp Clone)

7. Flag Quiz App

9. Cannon Game App

10. Weather App

11. Media, Videos and Sound Apps

12. Instagram clone

Karibuni nyote.
Tuko pamoja mkuu lakini naswali je sisi tunaotuma C language atuwezi kutengeneza app
 
mzee_wa_mishemishe

mzee_wa_mishemishe

Member
Joined
Aug 6, 2013
Messages
60
Likes
32
Points
45
mzee_wa_mishemishe

mzee_wa_mishemishe

Member
Joined Aug 6, 2013
60 32 45
kuna mtumiaji yoyote wa ionic umu ndani
 
mwaminifuhalisi

mwaminifuhalisi

JF-Expert Member
Joined
Feb 26, 2017
Messages
331
Likes
291
Points
80
mwaminifuhalisi

mwaminifuhalisi

JF-Expert Member
Joined Feb 26, 2017
331 291 80
TUJARIBU KAMA TOOLS ZINAFANYA KAZI IPASAVYO.
Natumai umeweza kuinstall hizo tools pasina na tatizo lolote, fungua Android studio hiyo android na kwa mara ya kwanza utakutana na inteface ya namna hii,
View attachment 528850

Chagua "Start a new Android Studio project", Baada ya hapo itakuja muonekano ufuatao
View attachment 528872
Hiyo sehemu ya application name unaweza kuipa jina lolote ambalo unalolita, badala ya hapo utabonyeza next, na itakuja interface ifuatayo,
View attachment 528876
Na baada ya hapo bonyeza next na itakuja interface ambayo itakutaka kuchagua muonekano wa jumla wa app yako jinsi itakavyoonekana kwenye simu ama tablet na utachagua "empty activity". na utabonyeza next na kisha finish.
View attachment 528877
Badala ya kumaliza hayo yote, ufuatao ndio general environment ya Android studio IDE, tutaendelea kujua tools zote ambazo zinapatikana kwenye hizo ide,
5-png.528889

Kwenye title bar kuna "activity_main.xml" na "MainActivity.java",

"MainActivity.java" ndilo java file ambalo source code za java na maswala yote ya logic huandikwa, na hiyo picha ya juu unayoiona ni java sourcecode.

"activity_main.xml" hili ndilo file la xml ambalo hufafanua muonekano wa jumla wa app. kwenye android studio activity_main.xml file zipo kwenye miundo miwili, 1. muundo wa maandishi(xml source codes) 2. mundo wa kimuonekano wa simu design. Angalia picha hapa chini.

Muundo wa kwanza wa xml source codes(Text),
6-png.528894

Muundo wa pili wa kimuonekano wa simu (Design)
7-png.528895

kwa hiyo unaweza kuchagua muundo gani ni rahisi ili kuunda interface unayoitaka kama ni "Text" au "Desin", ukiangalia picha ya muundo wa kwanza kwa chini kushoto kuna Text Design hapo ndipo unapofanya uchaguzi wa muundo.

line 1 ambayo ya blue inawakilisha sehemu ya kubuild na ku-run app project , lakini kama ya ku-run app unatakiwa uweze kutengeneza android virtual device (AVD), hii ni emulator (mfano wa simu za android) ambao upo kwenye muundo wa software kwa kila ukimaliza project na kuirun basi result za hiyo app zitakuwa zinatokea kwenye hiyo emulator, bonyeza AVD manager ambayo imewakilishwa na line 2 nyekundu kuunda emulator. pia unaweza kutumia simu halisi ku-run apps.

Baada ya kutengengeneza AVD basi run project hakikisha emulator imetokea na kukuonyesha result ya "hello World!", kama imekubali basi kila kitu kipo sawa na tuwe tayari kwa ajili ya kujifunza zaidi.
 
mwaminifuhalisi

mwaminifuhalisi

JF-Expert Member
Joined
Feb 26, 2017
Messages
331
Likes
291
Points
80
mwaminifuhalisi

mwaminifuhalisi

JF-Expert Member
Joined Feb 26, 2017
331 291 80
Tuko pamoja mkuu lakini naswali je sisi tunaotuma C language atuwezi kutengeneza app
Inawezekana kabisa kuunda app, lakini unaufahamu kuhusu QT framework ambayo hii pia hutumika kutengeneza app za android na inatumia c/c++?, lakini nakushauri chukua muda wako kujifunza JAVA kama unajua programming haitakushinda kujifunza JAVA ndani ya muda mfupi. lakini kama hutopenda kujifunza JAVA android wana kitu kinaitwa Native Development Kit ambayo utaweza kuunda app kwa kutumia c/c++, link ya sdk kwa ajili ya NDK hii hapa chini
NDK Downloads | Android Developers
 
I

Isack Michael

Senior Member
Joined
Jan 12, 2017
Messages
121
Likes
18
Points
35
I

Isack Michael

Senior Member
Joined Jan 12, 2017
121 18 35
Inawezekana kabisa kuunda app, lakini unaufahamu kuhusu QT framework ambayo hii pia hutumika kutengeneza app za android na inatumia c/c++?, lakini nakushauri chukua muda wako kujifunza JAVA kama unajua programming haitakushinda kujifunza JAVA ndani ya muda mfupi. lakini kama hutopenda kujifunza JAVA android wana kitu kinaitwa Native Development Kit ambayo utaweza kuunda app kwa kutumia c/c++, link ya sdk kwa ajili ya NDK hii hapa chini
NDK Downloads | Android Developers
Na je ukitaka pia hiyo android app iwe pia desktop app unafanyaje?
 
mwaminifuhalisi

mwaminifuhalisi

JF-Expert Member
Joined
Feb 26, 2017
Messages
331
Likes
291
Points
80
mwaminifuhalisi

mwaminifuhalisi

JF-Expert Member
Joined Feb 26, 2017
331 291 80
Kama unataka kutengeneza desktop app unafanyaje kwa kutumia C
aah kumbe unataka kutengeneza desktop application, binafsi napenda kutumia hiyo QT framework kwa kutumia C/C++, tukimaliza hii kozi, tutahamia huko au kama una haraka nikupe vitabu na videos tutorials na source codes za software mbalimbali kama utahitaji.
 
I

Isack Michael

Senior Member
Joined
Jan 12, 2017
Messages
121
Likes
18
Points
35
I

Isack Michael

Senior Member
Joined Jan 12, 2017
121 18 35
aah kumbe unataka kutengeneza desktop application, binafsi napenda kutumia hiyo QT framework kwa kutumia C/C++, tukimaliza hii kozi, tutahamia huko au kama una haraka nikupe vitabu na videos tutorials na source codes za software mbalimbali kama utahitaji.
Naomba unipe vitabu video tutorial na source code
 
Forum statistics

Threads 1,238,879
Members 476,223
Posts 29,335,278