Jukwaa la Ajira na Tenda

Fuatilia nafasi mbalimbali za kazi zilizotumwa na wanachama wetu. Share details, NO Hotlinking please!

JF Prefixes:

Wasailiwa walipata neno kutoka kwa Mkuu wa Wilaya ya Iringa ndugu Richard Kasesela. Akisema Usije ukatoa hata senti tano yako kwa nafasi hizi za JKT. Sergent mmoja ambaye hakujitambulisha jina...
2 Reactions
9 Replies
5K Views
Habari zenu! Kama kichwa cha habari kinavyosema, ila sio kwa wote ila ni asilimia kadhaa, hawa ndugu zetu yaani masekretari na mareceptionist WANAWAKE wengi wana roho ya korosho kwa wale...
1 Reactions
6 Replies
1K Views
Nani anayejua kuhusu ajira kwenye daraja la kigamboni? tulimsikia muheshimiwa raisi anasema wafanyakazi zaidi ya 300 watakuwepo kwenye daraja hili.. wahusika nasikia TANROADS na NSSF kwa anayejua...
0 Reactions
10 Replies
2K Views
Huwa najiuliza hili swala, leo naomba msaada wenu wakuu, hivi ikitolewa kazi na kigezo kikawa ni diploma je mwenye degree au masters anaweza kuiomba? Yaani kigezo cha elimu wewe muombaji ukawa...
0 Reactions
7 Replies
3K Views
VACANCY ANNOUNCEMENT AT SADC - TANZANIANS , APRIL 2016 Background The Southern African Development Community (SADC) currently has fifteen Member States with a population of approximately 250...
0 Reactions
14 Replies
3K Views
kwa yeyote anayehitaji mwalimu wa Mathematics O-level na A-level piga namba 0759689095
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Katika matembezi yangu ya hapa na pale leo nikaona siyo mbaya niperuzi kidogo kwenye web ya bodi ya pamba, nimeperuzi weee mwishoni kabisa nikaingia kwenye uchochoro wa humo TCB unaitwa vacancy...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Heshima kwenu wote. Kijana wa kiume,umri miaka 25,elimu kidato cha nne na ujuzi wa ufundi umeme wa nyumbani. Anatafuta kazi yeyote halali iwe kwenye duka,soko,bustani,mgahawani nk Ni kijana...
0 Reactions
2 Replies
867 Views
  • Redirect
habarini wakuu! Nilitoa tangazo hapa kuwa natafuta kazi yoyote ile iliyo halali elimu yangu Bachelor of science in food science and technology. Lakini mpaka sasa sijapata kazi yoyote ya...
0 Reactions
Replies
Views
Jaman mradi wa mwendo kasi nasikia una karbia kanza vipi mbona hawajatuita au kuna mtu kaitwa humu?pmoja na kale kbenk ka 1 nation bnk?
0 Reactions
11 Replies
2K Views
ni kampuni gani au blog gani ambayo inalipa kwa mpesa, tigopesa au airtel money endapo utashare habari zao kwenye akaubti yako facebook au kwenye blog yako?. nimeuliza maana nasikia makampuni...
0 Reactions
3 Replies
3K Views
Naomba kuuliza, Je ni maswali gani ya interview huwa yanaulizwa kwenye post ya Cashier? Ntashukuru mkinisaidia.
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Habari ndugu wanajamv! Naomba msaada toka kwenu. Nimeitwa kwenye usahili na shirika fulani kanda ya kaskazini. Position ni Gender Officer! Kwa waliowahi fanya usahili ya position ya Gender...
0 Reactions
20 Replies
3K Views
Axle Load Supervisor 2. Weighbridge Operators 3. Weighbridge Collectors 4. Supplies Assistant 5. Records Management Assistants 6. Driver 7. Office Attendants MODE OF APPLICATION All Interested...
0 Reactions
8 Replies
2K Views
Matokeo ya kupangiwa kazi utumishi,mbona kada ya COMPUTER OPERATOR II awajapangiwa ina maana wamefeli wote au 17 march adi 22 march
0 Reactions
9 Replies
2K Views
  • Redirect
Kama vile Magauni, sketi, blauz, sweta, pensi, suruali, short pens, swiming cost, t shert, shati, tyt, nk bei ni sh 8000 nakuendelea tunapatikana karume piga namba 0712288700
0 Reactions
Replies
Views
Naamin mmeamka salama kabisa. Naombeni kufahamu zaid kuhusu QUALITY ASSURANCE
0 Reactions
4 Replies
1K Views
HI! THIS IS TO INFORM YOU THAT THE INTERVIEW DATE HAS BEEN POSTPONED TILL FURTHUR NOTICE DUE TO SOME UNAVOIDABLE CIRCUMSTANCES! WE'LL NOTIFY YOU-EXPATLINKERS
1 Reactions
1 Replies
1K Views
  • Redirect
wakuu ivi mtu tayari Una degree law na pia umefaulu law school in short wakili.. je ni bora wakili aliyejiunga na jkt au kuwa wakili kitaa.... ipi inalipa..? na je itachukua mda gani kujiunga...
0 Reactions
Replies
Views
wasalaaam! ndugu wana Jf mm nikijana wa Kiume nimemaliza Chuo june mwaka jana Mpka sasa Nasubiri Post za Ualimu 2016, vilevile nimeomba Nafasi ya JKT. Najiuliza wapi niende UALIMU au JKT...
0 Reactions
12 Replies
2K Views
Back
Top Bottom