Kuna ajira gani alizosema Rais daraja la Kigamboni?

bobdizo

Senior Member
Jun 28, 2014
137
50
Nani anayejua kuhusu ajira kwenye daraja la kigamboni? tulimsikia muheshimiwa raisi anasema wafanyakazi zaidi ya 300 watakuwepo kwenye daraja hili.. wahusika nasikia TANROADS na NSSF kwa anayejua lolote kuhusu hili atujuze pls
 
Back
Top Bottom