kulwa sholoma
Member
- Mar 21, 2016
- 34
- 79
Naamin mmeamka salama kabisa. Naombeni kufahamu zaid kuhusu QUALITY ASSURANCE
Naamin mmeamka salama kabisa. Naombeni kufahamu zaid kuhusu QUALITY ASSURANCE OFFICER katika viwanda vya chakula hapa nchini. Pia katika ngazi ya degree but no experience(namaanisha pure graduate from University) wanawalipa kiasi gani? Pia naomba kujua kama kuna mtu ana uelewa wowote kuhusu interview zao na kama alishawah kufanya interview anijuze zaid maswali yao yanabase wapi.... Nijiandae na kipi zaid kufaulu interview zao?
Kuhusu mshahara niandae range ipi ili nisionekane ni money oriented?
Naombeni msaada wenu wadau, mimi ni mhitimu wa degree ya Biotechnology and lab Sciences toka SUA . Nimeitwa kwenye interview ya post hiyo idara ya vinywaji kampuni ya mohamed interprises .
Shukrani sana na mungu AWABARIK.