mm1
JF-Expert Member
- Aug 17, 2014
- 569
- 170
Katika matembezi yangu ya hapa na pale leo nikaona siyo mbaya niperuzi kidogo kwenye web ya bodi ya pamba, nimeperuzi weee mwishoni kabisa nikaingia kwenye uchochoro wa humo TCB unaitwa vacancy, kuchek nikakuta vacancies kibao ila hazina dead line for applaying, sjui n za long sana i don knw.
Mwenye kufahamu basi aseme ili niwasitue masela mtaani wanachapika na life gumu la magufuli.
NB: IT wa hiyo bodi ni mzembe sana kupita kias coz web haina latest news
Mwenye kufahamu basi aseme ili niwasitue masela mtaani wanachapika na life gumu la magufuli.
NB: IT wa hiyo bodi ni mzembe sana kupita kias coz web haina latest news