Nafasi za kazi SADC

ruhi

JF-Expert Member
Feb 26, 2012
4,335
6,642
VACANCY ANNOUNCEMENT AT SADC - TANZANIANS , APRIL 2016
Background

The Southern African Development Community (SADC) currently has fifteen Member States with a population of approximately 250 million people and a combined GDP of USD 467.3 billion (2006). The overall objective of SADC is to achieve development and economic growth, which is to be attained through increased regional integration, built on democratic principles and equitable and sustainable development.

It is following this background that SADC Secretariat wishes to invite suitably qualified, experienced citizens of SADC to apply for the following positions tenable at its Headquarters in Gaborone, Botswana:

Position Job (and Grade)

1. Director Policy Planning and Resource Mobilization (2)
2. Director Human Resources and Administration (2)
3. Director Budget and Finance 2
4. Secretary to the SADC Administrative Tribunal (SADCAT) (2)
5. Senior Officer Public Relations (4)
6. Senior Officer Conference Services (4)
7. Senior Finance Officer – Management Accounting (4)
8. Executive Assistant to the Executive Secretary (EA-ES) (4)
9. Head of SADC Plant Genetic Resources Centre (SPGRC) (4)
10. Risk Management Coordinator (5)
11. Senior Procurement Officer (4)
12. Communications and Relations Officer (External) (7)
13. Development and Performance Management Officer (7)
14. Human Resources Officer (7)
15. Administration and Logistics Officer (7)
16. Officer Documentation x 2 (7)
Remuneration

The SADC Secretariat offers a competitive package for all the positions listed below.

Job Grade Average Package per Annum:
Job Grade 2 US$ 90, 828Job Grade 4 US$ 81, 650Job Grade 5 US$ 77, 090Job Grade 6 US$ 72, 527Job Grade 7 US$ 68, 726Submission of Applications

Closing Date: Applications must be submitted to the SADC National Contact Point in the following respective Member States not later than or on 13th May 2016: Angola, Botswana, DRC, Lesotho, Madagascar, Malawi, Mozambique, Namibia, Seychelles, South Africa, Zambia and Zimbabwe

The Southern African Development Community (SADC) is made up of Angola, Botswana, Democratic Republic of the Congo, Lesotho, Madagascar, Malawi, Mauritius, Mozambique, Namibia, Seychelles, South Africa, Swaziland, Tanzania, Zambia, Zimbabwe.

Your application should accompany the following:

a) a short covering letter stating the position that you want to be considered for and describe how your qualifications, experience and competencies are relevant to the position;

b) a 3 pages updated curriculum vitae;

c) certified copies of your degree(s), Diploma(s) and Certificate(s); and

d) duly completed SADC Application Form.

Should you be shortlisted, you will be required to produce evidence of any educational and professional qualifications supporting your application, on the day of your interview.
Gender Mainstreaming

SADC is an equal opportunity employer and particularly encourages applications from
female candidates.

Closing Date: 13 May 2016

If you are results orientated, you have a passion for the transformation and development of Southern Africa, and possess the required competencies, please submit your application.

Only applicants, who meet the requirements of the SADC Secretariat and being considered for interview, will be contacted. Should you not hear from the SADC Secretariat within four weeks after the closing date, kindly consider your application as unsuccessful.

For further details on the position that you want to apply for, job profiles and SADC Application Form, refer to the SADC Website: www.sadc.int

Details can also be obtained from the National Contact Point in your respective country.

Issued by:

Ministry of Foreign Affairs, East African, Regional and International Cooperation, Dar es Salaam

19th April, 2016
 
Nimeingia kwenye tovuti ya SADC. Kuna kipengele kinaonyesha kuwa kwa sasa watanzania hatuna nafasi kwa kazi hizi, nanukuu hicho kipengele 'not eligible - insufficient quota points' kutokana na sera ya uajiri ya SADC. Mbona hilo tangazo la juu la kazi halijazingatia hilo? au hao MFAIC hawajakiona hicho kipengele, ama hakina umuhimu wowote?
 
Duuh! Hizo kazi hakuna Mbongo anaye qualify... Ndio matokeo ya interview yatakavyokuwa hivyo trust me... Ngoja tubanane na vikazi vyetu kwenye vikampuni vya kibongo kaama hiki cha Ako catering ambacho mjasiliamali mwenzetu wa kibongo anatupa ajira japo elimu yetu ya darasa la saba, anatuweka mjini...
 
More info tembelea: Southern African Development Community :: Vacancy Announcement for 16 Regional Positions on the SADC Secretariat Structure

Kama upo Dar na unayozo vigezo ni vizuri uende "Ministry of Foreign Affairs, East African, Regional and International Cooperation, Dar es Salaam" wanaweza kutoa msaada kwa sababu ndiyo source.
 
Kama upo Dar na unayozo vigezo ni vizuri uende "Ministry of Foreign Affairs, East African, Regional and International Cooperation, Dar es Salaam" wanaweza kutoa msaada kwa sababu ndiyo source.

Asante kiongozi..nimeshapata jibu, nimetembelea tovuti ya MFAIC muda si mrefu kuna maelezo yanasema hivi;

TAARIFA KWA UMMA
Sekretariati ya Jumuiya ya Maendeleo ya Kusini mwa Afrika (SADC) imetangaza nafasi mbalimbali 16 za ajira kupitia tangazo lao lililotolewa tarehe 16 Aprili, 2016 Kumb. Na. SADC/2/3/3/3 katika tovuti ya Southern African Development Community
Hata hivyo, kulingana na utaratibu wa “quota points” kwa ajira za Sekretariati, kila nchi mwanachama ana jumla ya pointi 121 ambapo kwa Tanzania tumebakiza pointi 5 tu. Pointi hizi hazitoshi kwa wananchi wetu kufanya maombi ya aina yoyote ya ajira za Sekretariati kwa kipindi hiki.
Pointi zinazohitajika kwa ajili ya kuomba nafasi ya ajira ni kuanzia pointi 12. Kwa sababu hiyo, Tanzania haimo katika orodha ya nchi wanachama ambao wanakidhi vigezo (eligible) kwa wakati huu.
Tunawaomba Watanzania waendelee kutembelea tovuti ya SADC na tovuti ya Wizara kwa ajili ya kupata taarifa kuhusu fursa zingine zitakazojitokeza.

Imetolewa na:
Kitengo cha Mawasiliano ya Serikali,
Wizara ya Mambo ya Nje, Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Kikanda na Kimataifa,
Dar es Salaam, 22 Aprili, 2016.

BelindaJ,
Miongoni mwa nchi wanachama 15, nchi mbili tu ndo hawajakidhi vigezo kwa kazi hizi Tanzania ikiwepo. Tatizo nini jamani watukoseshe kazi ?
 
Duuh! Hizo kazi hakuna Mbongo anaye qualify... Ndio matokeo ya interview yatakavyokuwa hivyo trust me... Ngoja tubanane na vikazi vyetu kwenye vikampuni vya kibongo kaama hiki cha Ako catering ambacho mjasiliamali mwenzetu wa kibongo anatupa ajira japo elimu yetu ya darasa la saba, anatuweka mjini...

Wewe hata kama unasifa, kwa mindset yako hutapata. Kwa nini unasema Watanzania hataqualify?

Siyo Wtanzania wote ni BRN!. Kama wewe huwezi ama hunasifa, usidhani wa TZ wote wako kiwango chako. Na wewe siyo kipimo cha Watanzania. Jipe nguvu na maarifa safari ijayo nawe uombe utapata!.

NINAWAHAMASISHA WATANZANIA WOTE WENYE SIFA NA WALIO NA MISINGI YA KUWA NA SIFA OMBENI KAZI HIZO. TENA KILA WAKATI MKIONA MATANGAZO KAMA HAYA OMBENI KWA WINGI SANA!. TAFADHALI MSIWASIKILIZE WAKATISHA TAMAA KA SABABU WANAZOZIJUA WAO.
 
Kuna shirika moja liliwahi kutoa taarifa kama hili likasema limetangaza nafasi za kazi lakini hakukuwa na Mtanzania mwenye sifa hivyo wakawa wanataka kuleta ma expert. So am speaking from the past experience. Akipata Mbongo ataishia kwenye hizo level za chini chini. Sie wabongo tuna bahati mbaya kweli na hii Dunia ya Mola. Sijui kwa nini tu!
 
BelindaJ,
Miongoni mwa nchi wanachama 15, nchi mbili tu ndo hawajakidhi vigezo kwa kazi hizi Tanzania ikiwepo. Tatizo nini jamani watukoseshe kazi ?

Kiukweli sijui kwa nini Tz haijakidhi vigezo kwenye kazi hizi..Nimekuwa natupia macho SADC mara nyingi kuangalia nafasi mbalimbali bila mafanikio..na zimetoka sasahivi ila ndo hivyo tena. Labda wakati mwingine, tuendelee kutupia macho.
 
Kuna shirika moja liliwahi kutoa taarifa kama hili likasema limetangaza nafasi za kazi lakini hakukuwa na Mtanzania mwenye sifa hivyo wakawa wanataka kuleta ma expert. So am speaking from the past experience. Akipata Mbongo ataishia kwenye hizo level za chini chini. Sie wabongo tuna bahati mbaya kweli na hii Dunia ya Mola. Sijui kwa nini tu!

Siyo kweli!. Pengine watu kati ya walioomba ndio hapakuwa na mwenye sifa lakini si kweli kwamba "HAKUNA MTANZANIA MWENYE SIFA HIZO".

Naomba utofautishe. Inawezekana wenye sifa hawakutaka kuomba, hawakuliona tangazo au walikatishwa tamaa na mitazamo kama hii.

Hilo shirika lililosema 'HAKUNA MTANZANIA MWENYE SIFA HIZI", naomba uliseme tusaidiane.
 
aomba hata km point hazitos mi skubali nmechoka mnadahnai mtaani patamu au? tumebakia na point 5 kivipi?
 
Nimeingia kwenye tovuti ya SADC. Kuna kipengele kinaonyesha kuwa kwa sasa watanzania hatuna nafasi kwa kazi hizi, nanukuu hicho kipengele 'not eligible - insufficient quota points' kutokana na sera ya uajiri ya SADC. Mbona hilo tangazo la juu la kazi halijazingatia hilo? au hao MFAIC hawajakiona hicho kipengele, ama hakina umuhimu wowote?

More info tembelea: Southern African Development Community :: Vacancy Announcement for 16 Regional Positions on the SADC Secretariat Structure
Wanataka tuendelee kuteseka NA ZUHURA LOGISTICS CO LTD NAKINA MASSAWE ENTERP LOH
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom