Bigbootylover
JF-Expert Member
- Oct 4, 2015
- 2,847
- 1,826
Huwa najiuliza hili swala, leo naomba msaada wenu wakuu, hivi ikitolewa kazi na kigezo kikawa ni diploma je mwenye degree au masters anaweza kuiomba? Yaani kigezo cha elimu wewe muombaji ukawa umekivuka, je unaweza kuomba au inamaanisha elimu ya juu zaidi huruhusiwi?