loving
Senior Member
- Aug 27, 2012
- 137
- 34
Habari ndugu wanajamv!
Naomba msaada toka kwenu. Nimeitwa kwenye usahili na shirika fulani kanda ya kaskazini. Position ni Gender Officer!
Kwa waliowahi fanya usahili ya position ya Gender naomba tupeane uzoefu wa maswali yanayoulizwa ili kujiandaa. Mimi ni fresh from school sijawahi hudhuria interview yoyote.
Uzoefu wenu ni muhimu kwangu