ruthy19990
New Member
- Feb 16, 2016
- 2
- 0
Naomba kuuliza, Je ni maswali gani ya interview huwa yanaulizwa kwenye post ya Cashier?
Ntashukuru mkinisaidia.
Ntashukuru mkinisaidia.
Umeitwa wapi sema nikusaidieNaomba kuuliza, Je ni maswali gani ya interview huwa yanaulizwa kwenye post ya Cashier?
Ntashukuru mkinisaidia.
Kwanini uanaomba kaziNaomba kuuliza, Je ni maswali gani ya interview huwa yanaulizwa kwenye post ya Cashier?
Ntashukuru mkinisaidia.