Jukwaa la Ajira na Tenda

Fuatilia nafasi mbalimbali za kazi zilizotumwa na wanachama wetu. Share details, NO Hotlinking please!

JF Prefixes:

Wakuu habari zenu, Napenda kujua ni kweli lazima kudhibitisha vyeti vya masomo Kwa mwanasheria Kwa kupiga mhuri Kwa mwanasheria ikiwa unataka kuomba ajira serikalini. Na je Kwa waliowahi Fanya...
3 Reactions
4 Replies
204 Views
Hello . Hivi ajira za afya na Ualimu kibali cha kuajiri watumishi Elfu 10300 na Raisi samia mwaka wa fedha 2023/24. Zinatoka lini kwa anayejua Tetesi? Waziri na viongozi wake wa Tamisemi Dana...
4 Reactions
14 Replies
1K Views
Habari wakuu. Nipo na binti wa miaka 25, ni mkazi wa Wilaya ya Dodoma mjini Kata ya Ihumwa. Elimu yake ni Stashahada ya mahusiano kazini kati ya mwajiri na mwajiriwa (diploma in industry...
1 Reactions
4 Replies
242 Views
Heshima kwenu wakuu, mimi kijana mwenye umri wa miaka 24, ni fundi simu mzoefu kwa zaidi ya miaka miwili, nina uwezo mzuri wa kutengeneza simu aina zote kwa software na hardware. Nahitaji kazi...
1 Reactions
59 Replies
2K Views
Wana JF Mbathane in mtanzania anatumia lugha yake adhimu sasa baada ya kuharibu lugha ya watu, tafadhari mbele yenu ni kijana mhangaikaji natafuta fursa ya ajira hata ya kujitolea kwa kupata...
4 Reactions
9 Replies
208 Views
Mkuu, anaeijua kampuni inyoitwa Global Alliance anijuze, naona walinipigia simu nifike kwenye interview yao wanfanyia Kibo palace Arusha, kwa anaejua baadhi ya maswali wanoweza kutoa. Mimi nina...
4 Reactions
28 Replies
634 Views
Habari naomba niulize jamani akuna anajuwa vibarua vya kazi viwandani
0 Reactions
45 Replies
22K Views
Hivi ukifanya kazi UN kama WFO na UNHCR hivi unakatwa Payee na NSSF? Asante
2 Reactions
4 Replies
343 Views
Mimi ni kijana wa kitanzania mwenye umri wa miaka 26, kitaaluma mimi ni mtaalamu wa ufugaji wa viumbe vya majini (aquaculturist) Nina uzoefu wa miaka 4 kwenye hii industry nimefanya kazi katika...
3 Reactions
1 Replies
156 Views
Leo ningependa kuzungumzia namna kijana yoyote wa Kitanzania ambae una utaalamu na/au ujuzi katika eneo fulani unavyoweza kupata kazi katika mashirika na makampuni ya kimataifa yaliyopo popote...
42 Reactions
192 Replies
9K Views
Nimefanikiwa kupata Bachelor of Education, hivyo basi kwa yeyote mwenye uhitaji au connection itakayoniwezesha kupata kazi ya kufundisha au inayoendana na taaluma yangu. Naomba kutanguliza shukrani.
1 Reactions
3 Replies
908 Views
Ndugu zangu habrini! Mimi ni mwalimu wa masomo tajwa hapo juu.nilimaliza elimu yangu ya juu mwaka 2018 katika taasisi kubwa sana hapa nchi. Nina uzoefu wa kufundisha kwa miaka miwili na miezi 6...
1 Reactions
2 Replies
1K Views
Habari wana jukwaa, Naomba kufahamishwa mshahara au malipo kama kichwa cha habari kinavojieleza hapo juu. Asante
3 Reactions
10 Replies
1K Views
POST ASSISTANT LECTURER – LAW(RE-ADVERTISED) – 1 POST EMPLOYER TIA APPLICATION TIMELINE: 2024-04-16 2024-04-29 JOB SUMMARY OK DUTIES AND RESPONSIBILITIES i. To prepare learning resources for...
0 Reactions
0 Replies
117 Views
POST LECTURER (MARITIME TRANSPORT/MARINE ENGINEERING)(RE-ADVERTISED) – 1 POST EMPLOYER DMI APPLICATION TIMELINE: 2024-04-16 2024-04-29 JOB SUMMARY NA DUTIES AND RESPONSIBILITIES i. To teach and...
0 Reactions
0 Replies
72 Views
POST SENIOR MARINE ENGINEER II (RE-ADVERTISED) – 3 POST EMPLOYER MSCL APPLICATION TIMELINE: 2024-04-16 2024-04-29 JOB SUMMARY NIL DUTIES AND RESPONSIBILITIES i. To monitor running, operation and...
0 Reactions
0 Replies
76 Views
POST PRINCIPAL CAPTAIN (RE-ADVERTISED) – 1 POST EMPLOYER MSCL APPLICATION TIMELINE: 2024-04-16 2024-04-29 JOB SUMMARY NIL DUTIES AND RESPONSIBILITIES To perform Commander of the vessel of less...
0 Reactions
0 Replies
57 Views
POST BRANCH MANAGER(RE-ADVERTISED) – 1 POST EMPLOYER MSCL APPLICATION TIMELINE: 2024-04-16 2024-04-29 JOB SUMMARY NIL DUTIES AND RESPONSIBILITIES i. To develop, design, build, install, inspect...
1 Reactions
0 Replies
85 Views
Kuna watu hapa wana GPA chini ya 3.5 na wengine chini ya 3.8. Jambo hili linawafanya wengi wao kukosa baadhi ya nafasi za kazi. Sasa je ni kipi husababisha mtu kupata GPA ndogo. Na je kati ya...
3 Reactions
83 Replies
6K Views
Kwema wadau? Naomba nitoe wazo kwa hawa jamaa utumishi, ni kwamba wanatakiwa kutambua kwa sasa uchumi wa nchi na hususani vijana ni kusuasua hivyo kuna mambo mengi tumepitia hata kabla ya...
1 Reactions
2 Replies
413 Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…