Hao ndio matangazo yao wanaweka kwenye nguzo za umeme, mshahara laki 3 😅.Mkuu, anaeijua kampuni inyoitwa Global Alliance anijuze, naona walinipigia simu nifike kwenye interview yao wanfanyia Kibo palace Arusha, kwa anaejua baadhi ya maswali wanoweza kutoa. Mimi nina BSc. Marketing Management
Umeniwahi nilitaka kucomment hivo hivo ila sio vipodozi ni masufuria na vikombe 🤣🤣🤣Hao ndio matangazo yao wanaweka kwenye nguzo za umeme, mshahara laki 3 😅.
Nenda mkuu na degree yaki ukatembeze vipodozi.
Wala usijichoshe na maswali kule inaangaliwa nguvu zako za kuhimili kuswampa na madishi ya vyombo 🤣🤣🤣🤣Nilichukua namba kwa nguzo ya umeme
Global alliance.Wamekuita kwenye interview maana yake ulifanya application? Ulifanya application kwenye kampuni ambayo hujui inajihusisha na Nini??
Kama hukufanya application basi watakua matapeli wanatumia jina la global alliance ili wakupige na kitu kizito kichwani
Mkuu, anaeijua kampuni inyoitwa Global Alliance anijuze, naona walinipigia simu nifike kwenye interview yao wanfanyia Kibo palace Arusha, kwa anaejua baadhi ya maswali wanoweza kutoa. Mimi nina BSc. Marketing Management
Nimemkumbuka jamaa yangu ghafla baada ya kuona kitu "Global Alliance".Mkuu, anaeijua kampuni inyoitwa Global Alliance anijuze, naona walinipigia simu nifike kwenye interview yao wanfanyia Kibo palace Arusha, kwa anaejua baadhi ya maswali wanoweza kutoa. Mimi nina BSc. Marketing Management
Global alliance ni networking business...... yaaani utapeli .....utaambiwa sijui kuunganisha watu kushoto kulia .....mara kuuza product zao wanakuzabua kiiingilio laki 600000 sijuiMkuu, anaeijua kampuni inyoitwa Global Alliance anijuze, naona walinipigia simu nifike kwenye interview yao wanfanyia Kibo palace Arusha, kwa anaejua baadhi ya maswali wanoweza kutoa. Mimi nina BSc. Marketing Management