Habar za wakati huu,
Mimi ni Kijana mchapakazi na muaminifu. Niko Mwanza nina miaka 30.
Nina ujuzi mkubwa wa kutumia computer pamoja na ufundi upande wa software. Pia na ujuzi wa kazi za...
Mimi ni kijana wa kiume niko mbele yenu wanajukwaa kunisaidia kupata kazi hasa za ufundi mimi ni mtaalam wa fundi selemara , fundi wa kuchomelea na kuunga vyuma na fundi aluminiamu lakini pia...
Yaani nashindwa kuelewa unakuta kijana hana fani wala ujuzi wowote. Lakn ukimwambia kuna kazi uku njoo ujichanganye yeye ataanza kukuuliza ntalipwa sh ngapi.??😎 kiasi kwamba km wewe ndo boss...
Ningependa kutoa mrejesho kuhusu thread ya malalamiko niliyowasilisha hapo awali kuhusu kutolipwa fedha za kujikimu kwa watumishi wa Halmashauri ya Mufindi, Mkoa wa Iringa.
Soma: Mufindi...
Mkurugenzi Mkuu wa Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (TAKUKURU) anawatangazia Watanzania wenye sifa kuomba kuajiriwa nafasi za kazi katika ofisi za TAKUKURU Wilaya kama inavyoonekana hapo...
Kumekuwa na ongezeko kubwa la watumishi wengi wa kada ya afya, hususan katika kada za Clinical Officers (C.O), Nursing na kada nyingine za afya, kuamua kubadili taaluma zao na kusomea fani tofauti...
Sisi Wafanyakazi 36 tuliokuwa waajiriwa wa Kampuni ya Mabasi Yaendayo Haraka (UDART) baada ya kuachishwa kazi kwa kile wanachodai kulikosekana uwajibikaji, tumegundua kuwa kuna changamoto ya...
Habari za wakati wakubwa kwa wadogo! Ni Furaha yangu kuwa hapa kwa muda na wakati kama huu kwa leo la kuwaomba kazi au mchongo wowote utakaonisaidia.
Mimi ni kijana wa miaka 27 na nipo Dar es...
Wakuu!
Huwa wanasema sharing is caring.
Ngonja ni wape Tips wapamabanaji wenzangu na watu wote ambao bado wanatafuta nafasi za kazi na pia kwa wanafunzi ambao bado wapo chuo. Hii trick...
SOFTWARE DEVELOPER NATAFUTA FURSA ZA KAZI, PROJECTS AU WASHIRIKA WA BIASHARA – NINA MIFUMO 6 NILIYOENDELEZA
Habari wana JamiiForums,
Mimi ni Software Developer mwenye uzoefu wa kutengeneza...
Peculiar Enterprises Ltd (PeL) is looking for motivated and results-oriented individuals to join our team as Volunteer Corporate Sales & Marketing Representatives to support the growth of our...
GROWTH & SALES MANAGER
Location: Dar es Salaam | Full-time | On-site
The Opportunity
We are looking for a Growth & Sales Manager to take ownership of the growth and commercial performance of our...
Tangu tuliporipoti kazini miezi sita iliyopita, sisi watumishi wapya wa kada ya Tabibu Daraja la II na Maafisa Afya hatujalipwa fedha zetu za kujikimu. Tunapofuatilia madai yetu, tunaelezwa kuwa...
Kwenye dirisha la Normal transfer request nimetafuta Halmashauri/Taasisi ninayotaka kuhamia nimeipata
Soma Pia: Kuna changamoto kubwa kwenye mfumo wa e-Uhamisho katika mchakato wa uhamisho wa...
Mkuu wa Kitengo cha Mawasiliano wa Sekretarieti ya Ajira katika Utumishi wa Umma, Lynn Chawala amesema ufaulu na mfumo wa upangaji wa matokeo ni miongoni mwa vigezo vinavyozingatiwa katika...
Habari ndugu zangu!
Nahitaji kazi. Mimi nimesomea hotel katika kitengo cha uhudumu wa chakula na vinywaji, nipo Zanzibar.
Yeyote ambaye anaweza kunisaidia kupata kazi, Mawasiliano yangu ni...
Watumishi wapya tulioajiriwa katika Halmashauri ya Wilaya ya Chunya hatujalipwa stahiki zetu za kujikimu hadi sasa.
Pamoja na kufuatilia suala hilo, viongozi husika hawajatoa majibu ya wazi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.