Natafuta kazi za vibarua viwandani

Natafuta kazi za vibarua viwandani

mandingo 94

JF-Expert Member
Joined
Apr 9, 2018
Posts
269
Reaction score
196
Habari naomba niulize jamani akuna anajuwa vibarua vya kazi viwandani
 
Nnatafuta kazi inayohusiana na mambo ya Microsoft office computer jaman, naombeni msaada jaman, hata za usafi maoffisini na kazi za mauzo mauzo pia kama zipo Nina uzoefu nazo.
 
Msichana 25yrs,naishi Dar ninatafuta kazi ya Duka la kawaida bidhaa za nyumbani, jumla,rejareja,min Super market na duka la dawa hata katika dispensary naweza fanya nina vyeti aliye serious naomba anifate pm
 
Naomba kwa anaetafuta watu wa usafi maofisi au hospital anasaidie kazi hiyo
 
Msichana 25yrs,naishi Dar ninatafuta kazi ya Duka la kawaida bidhaa za nyumbani, jumla,rejareja,min Super market na duka la dawa hata katika dispensary naweza fanya nina vyeti aliye serious naomba anifate pm
Duka la dawa una vyeti gani?
 
Dereva Nina leseni daraja c naweza kuendesha magari makubwa na madogo pia bus kubwa na ndogo za Abiri na Nina uzoefu Wa miaka mingi katka kazi yangu ya udereva nimeenda nchi mbalimbali za Africa ya mashariki Kati na kusini. Kwa yeyote anaeweza kunisaidia nipate kazi nitashukuru sana.
 
Hello! How are you today i am looking for the employment position of hotel porter/ security service in position of help desk, I have certificate of tourism and tour guiding with more than 2 years wotking in the hotels as Hotel porter.
Msaada wenu wana jF tulijenge taifa asante.
Email: josephkassero5@gmail.com, kwa mawasiliano au waweza wasaliana nami umu
 
Kuna jamaa anatafuta kaxi ya kupaka rangi nyumba ya aina yyte hata maofisi na makampuni, anauzoefu mkubwa wa kupaka rangi, mwenye kuitaji kuboresha nyumba, ofisi, kampun, kupakwa rangi na Ku repairs yupo kijana anapatikana yombo-temeke.
 
Msichana 25yrs,naishi Dar ninatafuta kazi ya Duka la kawaida bidhaa za nyumbani, jumla,rejareja,min Super market na duka la dawa hata katika dispensary naweza fanya nina vyeti aliye serious naomba anifate pm
mie natafuta wa kumuoa tuu kama utakuwa serious ni pm age 28yrs naishi Dar -tabata
 
Kuna jamaa anatafuta kaxi ya kupaka rangi nyumba ya aina yyte hata maofisi na makampuni, anauzoefu mkubwa wa kupaka rangi, mwenye kuitaji kuboresha nyumba, ofisi, kampun, kupakwa rangi na Ku repairs yupo kijana anapatikana yombo-temeke.
sema wewe ndio unatafuta kazi bhana
 
mie natafuta wa kumuoa tuu kama utakuwa serious ni pm age 28yrs naishi Dar -tabata
Mkuu nahisi una tatizo sehemu na unahitaji maombi maana wewe tangu 2015 unatafuta mchumba nimepitia matukio yako ya nyuma nikaona nisikujibu vibaya maana tayari ni tabia yako haiwezi badilika,afu kingine mkuu ushapata pesa za majini na za kichawi hahaha,kwa background yako huyo mkeo mtarajiwa ajipange unatabia za ajabu sana,yangu ni hayo tu na uweke akilini kuolewa si kazi,sitafuti mume humu kama ww
 
Back
Top Bottom