Mimi ni fundi Simu, natafuta kazi

Mr simple M

JF-Expert Member
Sep 18, 2020
2,075
4,300
Heshima kwenu wakuu, mimi kijana mwenye umri wa miaka 24, ni fundi simu mzoefu kwa zaidi ya miaka miwili, nina uwezo mzuri wa kutengeneza simu aina zote kwa software na hardware.

Nahitaji kazi wakuu au kama kuna mtu anaweza kuwekeza mtaji tukafungua ofisi tukawa tunagawana percentage pia nitashukuru sana

Naomba kuwasilisha.
 
Sijaelewa kabisa, wewe ni fundi halafu unaomba kazi? Kazi ya ufundi au tofauti na ufundi?
Heshima kwenu wakuu, mimi kijana mwenye umri wa miaka 24, ni fundi simu mzoefu kwa zaidi ya miaka miwili, Nina uwezo mzuri wa kutengeneza simu aina zote kwa software na hardware.

Nahitaji kazi wakuu au kama kuna mtu anaweza kuwekeza mtaji tukafungua ofisi tukawa tunagawana percentage pia nitashukuru sana

Naomba kuwasilisha.
 
Heshima kwenu wakuu, mimi kijana mwenye umri wa miaka 24, ni fundi simu mzoefu kwa zaidi ya miaka miwili, Nina uwezo mzuri wa kutengeneza simu aina zote kwa software na hardware.

Nahitaji kazi wakuu au kama kuna mtu anaweza kuwekeza mtaji tukafungua ofisi tukawa tunagawana percentage pia nitashukuru sana

Naomba kuwasilisha.
Unafuta Kazi!?? Nadhani ni unatafuta kazi Moderator msaidieni kubadili kichwa Cha habari
 
Sasa kwanini usijichanganye na wenzio masika pale kisha unatafuta hela ya vitendea kazi unafungua ofisi yako.
Kazi utakazopewa na raia ni kukuletea simu utengeneze.
Asante kwa mawazo mkuu.
Pale masika competition iko juu sana
Hivyo take home kuwa chini
 
Sasa fundi simu unataka uajiriwe na nani kwa taaluma ya ufundi simu????

Ufundi wako ni ajira tosha. Kajichanganye center ya hapo ulipo.
Asante kwa ushauri mkuu kama utasapoti mtaji Niko tayari hata kesho asubuhi.
 
Back
Top Bottom