Ajira za Ualimu na Afya zinatoka lini?

Tumia vizuri kichwa chako kupambana na maisha, ukisubiri ajira zitangazwe na watu ambao wanafamilia zao wala hawana undugu na wewe unaweza kupata msongo wa mawazo fanya ishu zingine kama wakitangaza omba then endelea na mambo yako. Ila huu ni ushauri tu sio lazima uufuate.
 
Ukweli lile tangazo zilikuwa siasa , kwanini ??. Kwasababu waziri alijikuta anatoa tangazo lile bila kutarajia baada ya serikali ya Zanzibar kitoa tangazo kuwa inatazamia kuajiri walimu 15000 ambao ni wazanzibar tu ikiwa ni muendelezo wa kuionesha Tanganyika kuwa cha Zanzibar ni cha Zanzibari na watanganyika hakiwahusu .

Sasa ili kufunika panic za watanganyika ( Tanzania bara kama mnavyojiita ) juu ya swala la ajira katika mambo ya muungano waziri wenu nae akasimama majukwaani na kutoa tangazo kuwa serikali ya Tanganika inatizamia kuajiri walimu na madaktari 25, 000 ndani ya mwaka huu ikiwa uwezo huo haona ,na huku ikiwa imeshikwa na aibu kuona nchi ndogo ya Zanzibar inaajiri watumishi 15000 afu huku lijinchi lenye watu wapatao milion 60 lina ajiri watu 25000 tu .
Lakini itakumbukwa kuwa katika ajira hizo 25000. Asilimia 10% au 15% ni za wanzanzibar .

Swali je , katika ajira hiza 15000 je ni asilia ngapi za watanganyika ???
Je , swala la ajira linazungumziwaje kwenye muungano , ni sehemu ya muungano au la ??
 
Too bad
 
Siasa Tamisemi itawamaliza
 
Tumia vizuri kichwa chako kupambana na maisha, ukisubiri ajira zitangazwe na watu ambao wanafamilia zao wala hawana undugu na wewe unaweza kupata msongo wa mawazo fanya ishu zingine kama wakitangaza omba then endelea na mambo yako. Ila huu ni ushauri tu sio lazima uufuate.
Nakubalianaa na wewe boss mana vijana wengi hawajiongezi baada ya kumaliza chuo
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom