Mwalimu wa history & English anatafuta kazi

pet geo pet

JF-Expert Member
Jun 30, 2018
461
644
Ndugu zangu habrini!

Mimi ni mwalimu wa masomo tajwa hapo juu.nilimaliza elimu yangu ya juu mwaka 2018 katika taasisi kubwa sana hapa nchi.

Nina uzoefu wa kufundisha kwa miaka miwili na miezi 6.

Kwa yeyote mwenye shule au mwenye uitaji wa mwalimu wa hayo masomo hapo juu nipo hapa,binafsi ni mchapa kazi, Ninauwezo wa kujifunza kwa muda mfupi pia Nina uwezo wa kufundusha watoto wakaelewa somo langu kwa furaha.

Naomba kuwasilisha.karibuni wanajf kwa ushauri na connection. Nipo tayar kwa interview muda wowote .kwa sasa napatika Geita.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom