Jukwaa la Ajira na Tenda

Fuatilia nafasi mbalimbali za kazi zilizotumwa na wanachama wetu. Share details, NO Hotlinking please!

On JF:

Job title: GRAPHIC DESIGNERS (2 position) Location: ARUSHA, Head office Reports to: Managing director Projects: SOKOKUUONLINE AND TANCH EXPRESS APP SUMMARY: AA TANCH holding company ltd is a...
0 Reactions
0 Replies
856 Views
See the document below for more information:
1 Reactions
0 Replies
574 Views
Enzi zetu ukiwa na ndugu kitengo fulani atakufanyia mchongo utapata ajira kwenye taasis yake. Leo hii ukitaka ajira ya uma lazima utume maombi tume ya ajira muitwe watu elfu ishirini mpambanishwe...
16 Reactions
105 Replies
12K Views
Wadau leo nataka kujua mambo kazaa mawili matatu katika Ajira apa Tanzania. 1. Connection ni nini? 2. Connection zinapatikana wapi? 3. Ni nani anastahili kupewa connection na yupi hastahili...
2 Reactions
47 Replies
8K Views
Mgahawa unaitwa Upcountry Kitchen Taste upo Kibosho Mweka- Kilimanjaro, unatangaza nafasi 2 za wahudumu na mpishi 1. Waombaji wawe wakazi wa Kilimanjaro, Muombaji awe msafi, anayejituma na...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
JOB TITLE: Graphic Designer (2 Posts) Location: Arusha- Head Office, Tanzania Reports to: Managing director Projects: SOKOKUUONLINE AND TANCH EXPRESS APP JOB PURPOSE: To create visual...
0 Reactions
0 Replies
712 Views
Nataka kuondoka nyumbani sina pakuanzia Nahitaji kujitegemea wandugu mwenye connection ya kazi yoyote anipe sichagui kazi yoyote nipo tayari Nina umri 24 Nipo. Mkoa Tanga Nina diploma ya...
0 Reactions
9 Replies
2K Views
JOB VACANCIES JOB TITLE: Head Chefs (2 Posts) We are looking for two head chefs to work in our lodges at Serengeti and Ngorongoro The candidate should be familiar with: ● Hot kitchen ●...
0 Reactions
0 Replies
576 Views
JOB TITLE: Project Engineer Number Posts: 1 Reports to: Project Engineer Location: Dar es salaam, Tanzania Main Duties and Responsibilities: ● Prepare Annual Capex Plan ● Identify...
0 Reactions
0 Replies
721 Views
Kama kichwa cha thread kinavyosema hili shirika la TASAF lilitoa nafasi za kazi katika kada mbalimbali toka mwezi juni tukaja kuitwa kwenye interview kupitia utumishi mwezi November. Ila toka...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Ndugu zangu kama kuna mwana jf yeyote ana kazi zake zozote za kiufundi au ana connections na mafundi nipo tiyali kufanya kazi yeyote ya SAIDIA FUNDI. Kazi yeyote ile ya kiufundi nitafanya kwa...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Kwa wale wana jf wote humu jukwaani kama kuna mtu yeyote anahitaji mtu wa kumsaidia kazi zake zozote zile za SAIDIA FUNDI tuchekiane tuu Mimi nipo dar kwa sasa naishi chanika
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Mwongozo hapo juu ni kijana (25) natafuta kampuni ya Mambo ya shipping nifanye field Mara baada ya kumaliza semister 2 mwezi wa 6 Nipo mwaka wa pili (Diploma) course ya SHIPPING AND PORT...
0 Reactions
2 Replies
990 Views
Wadau habari za asubuhi, Kama ilivyo mm ni muhanga wa kukosa ajira miongoni mwa vijana wengi hapa Tz, hivyo ninaomba kwa mwenye connection ya nafasi ya kazi anisaidie, popote pale ninafanya kazi...
2 Reactions
4 Replies
2K Views
[emoji120][emoji120]
0 Reactions
0 Replies
721 Views
Wapendwa natafuta ufahamu, ujuzi na uzoefu kwenu, kama maelezo hapo juu. Mazingira ya ajira katika nchi nyingi za kiafrika ni ngumu na si kwetu Tanzania pekee. Kumetokea vijana wengi wanatoka...
2 Reactions
30 Replies
7K Views
Habari za leo wakuu na pia shikamooni wakubwa. mimi ni kijana(kiume) mwenye almost 25yrs, na ni graduate wa diploma ya medical laboratory science tangu 2018. nimefanya kazi katika facility...
1 Reactions
2 Replies
2K Views
Habari zenu Wakuu. Mimi ni Graduate niliyehitimu course yq uuguzi na ukunga Diploma(2019) Dhumuni la kuja hapa ni kuomba connection au msaada wa kazi inayohusiana na course yangu kama kuuza...
2 Reactions
11 Replies
3K Views
Habari ndugu, Kuna kampuni moja ambayo nilikuwa nafanya nayo kazi ila sikwenda kazini siku tatu baada ya kuugua ghafla nilipewa ED na daktari ya siku tatu baada ya kumpa taarifa boss wangu...
1 Reactions
29 Replies
6K Views
Back
Top Bottom