Ngunya1
JF-Expert Member
- Jul 21, 2017
- 785
- 1,364
Habari ndugu,
Kuna kampuni moja ambayo nilikuwa nafanya nayo kazi ila sikwenda kazini siku tatu baada ya kuugua ghafla nilipewa ED na daktari ya siku tatu baada ya kumpa taarifa boss wangu akanisimamisha kazi, hatimae leo amenifukuza kazi bila barua.
Nimemuomba angalau anisaidie ili nirudishe familia yangu waliponitoa wamegoma.
Ushauri jamani, mkataba wangu unaisha October 2021