Jukwaa la Ajira na Tenda

Fuatilia nafasi mbalimbali za kazi zilizotumwa na wanachama wetu. Share details, NO Hotlinking please!

On JF:

Naomba kuuliza hawa TANAPA wataita lini tena usaili wa nafasi za kazi kwa kada zilizobaki (waliokuwa shortlisted toka March 2) na tangazo za kuhairisha likatolewa March 17 mwaka huu. Maana kama...
0 Reactions
22 Replies
4K Views
Baada ya kuandika uzi wangu nimepata udhamini wa tshs. 600,000/= kutoka kwa Mtanzania mwema, kwa kweli watu wema bado wapo wengi sana Ahsante sana kwa msaada huu. Kutokana na kupata fedha hii...
7 Reactions
20 Replies
4K Views
We are currently seeking to employ female gender trainers for the MAISHA study; a cluster randomised controlled trial to address intimate partner violence in Mwanza City. As part of the study, a...
2 Reactions
4 Replies
1K Views
Nawauliza waungwana hivi salary slip hazipatikani katika "salary slip.mof.go.tz naweza kuzipata wapi zaidi ya hapo
0 Reactions
10 Replies
2K Views
Job Category: Transportation Job Type: Full-Time Deadline of this Job: 10 January 2021 Duty Station: Tanzania Posted: 05-01-2021 Requirements Job Status No of Jobs: 8 Start Publishing...
1 Reactions
13 Replies
2K Views
Kwajina naitwa Japhar Bakar ninamiaka 23. Elimu yangu ni kidato cha nne tu nilimaliza mwaka 2017. Baada ya kumailiza kidato cha nne nilifanya kazi kwenye duka la baba angu, baada ya hapo nilifanya...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Hello there! I am competent, skilled and experienced nursery teacher from Feza Zanzibar. (4years) Currently, I'm in mainland and looking forward to teach at any Nursery school. Thanks.
0 Reactions
6 Replies
722 Views
Nilifanya oral na written interview ya TASAF, ila mpaka leo imekuwa kimya. Kwa mwenye taarifa yoyote atujuze kama watu walishaitwa kazini au tuendelee kusubiri. Adios!
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Hello, hope your great. Am urgently lookig for a job, i have a bachelor degree of commerce in accounting and professionally am a CPA T. I have 2 years working experience in accounting and...
1 Reactions
11 Replies
3K Views
Habari wapendwa nipo na dada yangu ni msusi mzuri tu wa nywele za aina mbali mbali pia tofauti na kipaji chake amesomea Secretary certificate only pia kutokana na ugumu wa kupata kazi anatafuta...
1 Reactions
4 Replies
1K Views
Habari jamii forum, Kama kichwa cha Habari kinavyo sema mimi ni mhitimu chuo cha SUA mwaka 2016 bsc environmental sciences and management sijapata kazi na msoto mtaani unaendelea kuwa mkubwa...
16 Reactions
160 Replies
23K Views
Job Title: Human Resources Business Partner Reports to: Head of Human Resources & Administration Responsibilities Consult with line management and provide daily HR guidance Oversee employee...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Vacancy: Human Resource Business partner Ref: 2020-03 Comprehensive Community Based Rehabilitation in Tanzania (CCBRT) aims to be the leading provider of accessible specialized health services in...
1 Reactions
1 Replies
673 Views
Jamani wapendwa habari zenu... Nakuja na ombi lilelile bado sijapata kazi mpaka sasa hivi naomba msaada jamani nipate kazi yoyote mambo hayaendi. Nimesomea ualimu ngazi ya shahada lakini mpaka...
0 Reactions
4 Replies
976 Views
SOS Children’s Villages Tanzania is a local non-government organization affiliated to SOS Children’s Villages International, a worldwide child care organization that provides orphaned and...
0 Reactions
0 Replies
727 Views
Watanzania tuwe wabunifu kuhusu suala la ajira, nchi haiwezi kuajiri wasomi wote cha msingi ni kuchangamkia fursa za kibiashara. N.B Kilimo ndio uti wa mgongo fanya kazi kwa bidiii na kuwa...
2 Reactions
8 Replies
1K Views
Job Opening Posting Title: ASSOCIATE LEGAL OFFICER, P2 Job Code Title: ASSOCIATE LEGAL OFFICER Department/Office: International Residual Mechanism for Criminal Tribunals Duty Station...
0 Reactions
0 Replies
780 Views
Wakuu habari za wakati, natumai mko salama kabisa. Mimi ni muhitimu wa kozi ya ununuzi na ugavi ngazi ya shahada (Bachelor in Procurement & Logistic Management) kutoka Chuo cha Uhasibu Arusha...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Back
Top Bottom