Medical laboratory Technician

Fundisanifu

JF-Expert Member
Nov 3, 2016
515
625
Habari za leo wakuu na pia shikamooni wakubwa.

mimi ni kijana(kiume) mwenye almost 25yrs, na ni graduate wa diploma ya medical laboratory science tangu 2018. nimefanya kazi katika facility 2(level ya hospitali 1 year na 1 year in a laboratory company). Na nina experience ya miaka miwili sasa and naweza ku-manage shughuli zote za kimaabara(ya tiba) kwa ufanisi zaidi na kuisimamia vilevile kwa weledi wa hali ya juu.

nna vyeti vyote na leseni (Full license- FRP).

kwasasa natafuta ajira(tempo au contract) either hospitalini, medical care clinic(polyclinic), kituo cha afya, kampuni au shirika(NGO).

naomba connection kwa watu ambao wanaweza kunirecruit na kufanya nao kazi au wanaoweza kunisaidia kwa namna nyingine.

Pia, naamini kua atakaeniajiri hatajuta kuniajiri maana nnajiamini katika utendaji kazi wangu ukizingatia ninajua vitu vingi kuhusu proffesion yangu na ninaweza kufanya kazi katika mazingira tofauti.

Tunaweza kuwasiliana via 0786744401 au julianjulian591@gmail.com

NB. kwasasa nipo Dsm and am ready to relocate!.


Asanteni sana.
 
Back
Top Bottom