Msaada: Wakuu, natafuta kampuni nikafanye field

TCSPM

Member
Dec 3, 2020
48
75
Mwongozo hapo juu ni kijana (25) natafuta kampuni ya Mambo ya shipping nifanye field Mara baada ya kumaliza semister 2 mwezi wa 6
Nipo mwaka wa pili (Diploma) course ya SHIPPING AND PORT MANAGEMENT.

Pia nimesoma course ya computer vizuri Sana nazijua Documents muhimu na mtililiko wake na kwa sasa najifunza jinsia ya software applications kama Tancis/cargo system na mengine.

Mbali na yote napenda kijifunza kitu kipya na naelewa haraka, Kuhusu lugha najiua kuandika na kusoma kwa ufasaha Kiswahili na Kiingereza, na mwisho naweza kuhimili mazingira yoyote harali ya kazi/Najua namna ya kuishi na aina zote za watu
Msàada wenu wadau.

Asanteni
 
I hope mpaka June utakuwa umejifunza pia kuandika kwa kufuata utaratibu wa paragraphs.

Pia natarajia utakuwa umejifunza matumizi ha R na L.

Mwisho nataraji pia utakuwa umejifunza kuwa multi purpose. Soko la ajira ni pana sana kwa mtu anaeweza kutumika kwenye mambo kadhaa kwa wakati mmoja.

Mfano vijana wawili wakiwa wote wanajua kazi zote za kitaalam zifanywazo na kampuni husika halafu mmoja wao akawa na ujuzi wa ziada labda kutafuta na kupata wateja basi yeye anakuwa na chance kubwa ya kuhitajika na employers wengi kwa wakati mmoja.

Ikifika May nitafute kuna sehemu nitaku connect.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom