Nafasi za kazi mgahawani

ladybutterfly

JF-Expert Member
Feb 18, 2013
206
225
Mgahawa unaitwa Upcountry Kitchen Taste upo Kibosho Mweka- Kilimanjaro, unatangaza nafasi 2 za wahudumu na mpishi 1.

Waombaji wawe wakazi wa Kilimanjaro, Muombaji awe msafi, anayejituma na anayejitambua,wenye uzoefu watapewa kipaumbele.

Huduma ya chakula cha asubuhi, mchana na usiku kwa staff inatolewa na employer.

Maombi yote yatumwe WhatsApp kupitia namba ya simu 0752808396, kwa kutuma ujumbe unaoelezea wasifu wa muombaji pamoja na picha full.
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Similar Discussions

Top Bottom