Kama kichwa cha habari kinavyosomeka anaitajika mtu mwenye uwezo wa kuandaa michoro ya picha.
Sifa uwe na PC pia uwe na speed ya kuandaa michoro isiyopungua mitatu kwa siku Kama unajiona unaweza...
The Tanzania Electrical, Mechanical and Electronics Services Agency (TEMESA) was established by the government notice No.254 published on 26th August, 2005 to take over the functions which were...
1. Job Title: Driver (2 posts)
Duty station: SOS Children's Village Zanziba (Unguja and Pemba)
Reporting to: HR cum Admin Officer
Duties and Responsibilities:
● Fulfills the Transport Needs for...
Habari Wanajamvi
mimi ni mhitimu wa chuo, nimemaliza chuo, nimesoma uwalimu level ya degree mpaka sasa ni mwaka wa tatu sijafanikiwa kupata kazi kinachonisikitisha mzazi wangu anaumwa na...
1. JOB TITLE: ADMINISTRATIVE ASSISTANT- (4 POSTS)
Location: ( Chalinze, Ubungo, llala and Kinondoni Councils)
Roles and Responsibilities:
● To work as an administrative assistant for all...
Overview
Air Tanzania Company Limited (ATCL) is implementing its five years Corporate Strategic Plan (2017/2018-2020-2021) which includes the network expansion in local, regional and international...
Habar zenu wakuu
Naomba kuuliza hizi kazi zilizotoka za wizara ya afya maombi yanatumwaje, kwa njia ya posta au njia gan? Naomba kueleweshwa
Sent from my SM-A205F using JamiiForums mobile app
Jamani ndugu mwenye connections ninauzoefu wa masuala ya security kiujumla kuongoza mitambo ya CCTV na kadhalika natafuta kazi hiyo.
Nina ujuzi wakutosha kufanya kazi hiyo kwa maslahi ya mmiliki...
Wakuu,
Ninaomba ushauri kidogo. Nimemaliza chuo ka degree cha computer science nimekaa kitaa kidogo kwenye kuhangaika na mishe mzee mmoja wa family ana title heavy huko TPDF kisa nna age ndogo 22...
Habari waungwana natafuta kazi ya udereva kwa mtu binafsi au makampuni
Elimu 4rm 4.
Chuo NIT nina cheti cha VIP
Lesen class A B C1C2 C3 D
Uzoefu miaka 3 naendesha gari aina zote napatikana Dar es...
Kama mnavyojua ndugu zangu, hali saivi haiko poa kabisa lakini kama washika dau hebu tusaidiane ni mbinu gani unaweza kutumia kutafuta na kuipata pesa kupitia watu ukiwa huna ajira.
Hebu...
Habarini wanandugu.
Nimekuja kwenu naomba ajira mim ni fundi welding nina cheti.
Nina uzoefu kwenye arc pia nina uzoefu wa wastani kwenye MIG welding
Namba yangu hii 0763329715
Wakuu namatumaini yangu mu wazima wa afya.
Nisiwachoshe sana kichwa cha habari kinajieleza,nimemaliza masomo yang ya elimu ya kati katika fani ya uhandisi umeme kutoka DIT,naomba mwenye chanel...
Habari za majukumu ndugu wanajukwaa?
Mimi napenda kufahamu zile decent websites za kuomba kazi nchi za nje kama Norway, Sweeden, Canada, Turkey, Holland, Malta, Nk.
pia napenda kufahamu kwa wale...
Nataka kuomba kazi kupitia ajira portal na ndiyo mara yangu ya kwanza kutumia huu mfumo..
sasa kuna mambo naomba kufahamishwa ili nisikosee..
Vyeti nikishaviscan hasa kile cha form four na form...
THE UNITED REPUBLIC OF TANZANIA
THE MINISTRY OF HEALTH, COMMUNITY DEVELOPMENT, GENDER, ELDERLY AND CHILDREN
EMPLOYMENT OPPORTUNITIES
Ministry of Health, Community Development, Gender, Elderly...
Tarehe 31.12.2020
Kampuni ya pivotech ilitoa vacancy ya nafasi 5 za Field Operation Officer wakasema ndani ya siku 14 usipopigiwa Simu ujue haujafanikiwa kuitwa napenda kujua kama weshaita baadhi...
Mimi ni binti wa miaka 25 elimu yangu Diploma ya Uhasibu. Ninaomba ajira ndugu zangu Nina uzoefu na kazi hii kwa miaka 2.
Naishi Kibaha Mlandizi kazi popote nipo tayari 0628882267.
Daktari (MD) anahitajika eneo la Kiluvya, preferably ambaye anaishi maeneo ya Kibaha, Kibamba, Kiluvya kwa mawasiliano zaidi piga 0758918144 au tuma application kupitia e-mail jndasika3@gmail.com
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.