Waziri wa Nchi, OR Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, Ridhiwani Kikwete amesema, "Kumekuwa na maombi mengi sana ya baadhi yetu kuomba kubadilisha vituo vya kazi. Nitoe rai...
Kero yangu sisi tunaoomba ajira kupitia Mfumo wa Ajira Portal, tunakaa muda mrefu bila kuitwa kwenye interview.
Kwa mfano niliomba ajira Ajira Portal, Shirika la Posta since last year Mwaka 2025...
Maofisa wa Ofisi ya Utumishi hawatoi ushirikiano mzuri kwa Watumishi wa Umma, namba zao za Customer Service hazipokelewi na zikipokelewa unapewa majibu ambayo yapo too general bila ufafanuzi wa...
Wakuu salam,
Nina umri wa miaka 27, na uzoefu wa kusafirisha abiria.
Nina leseni ya daraja C1 na barua ya uwakiki ipo.
Sasa wakuu, niko bench, maisha yameanza kuninyoosha na harakati sizipati…...
Habari wadau,
Ninaomba mtusaidie kupaza sauti kuhusu suala la kupata pesa za kujikimu sisi ajira mpya upande wa Tamisemi Sumbawanga municipal council.
Watu wanalalamika hawalipwi
Je, kuna uwezekano wa kumpatia kazi, kama inahusiana na alichosomea au hata kama haihusiani, kazi yake saivi ni saidia fundi kinachofanya anaonekana kabisa akili yake haijatulia sana kwa sasa...
Kwenye soko la kutafuta ajira Vijana tunakumbana na mambo mengi sana, kuna wakati unatuma maombi ya kazi unaitwa kwenda kufanya Usaili ila unakutana na mazingira ambayo mwenyewe unajua kabisa hapa...
Sisi ni ajira mpya Halmashauri ya Ubungo, hatujalipwa pesa zetu za kujikimu tokea mwezi wa 6 mwaka jana (2025).
Tumejaribu kuafuatilia sana kwenye ofisi za Halmashauri husika, pasipo kupata...
Kituo cha Afya Moshi Medical Health Centre kilichopo wilaya ya Hai (Bomang'ombe) mkoa wa Kilimanjaro ni takriban miezi 4 sasa hatujalipwa mishahara yetu.
Kituo hiki kwa Muda mrefu kimekuwa na...
OWM-TAMISEMI watoe orodha ya majina ya watumishi wote ambao majibu yao ya maombi ya uhamisho yametumwa kwa wakurungenzi / waajiri wao kama walivyotangaza kwenye tangazo la barua hii.
Huko nyuma...
Tumeomba ajira Serikalini tangu Mwaka 2025 Mwezi wa 8 lakini mpaka Machi hii 2026 hakuna aliyeitwa wala majibu yoyote hadi leo.
Tuliomba nafasi na tulituma kupitia Ajira Portal upande wa Ajira za...
Mfumo wa ESS kwa watumishi wa Umma umekua na changamoto za mara kwa mara ..mara nyingi unakua down,je wanao simamia au walioleta huu mfumo hawakujua unyeti wa hili wanalo anzisha ?
Hawakujua...
Wadogo zangu ambao bado hamjamaliza Please msicheze vyuoni mpate ufaulu ambao ni mzuri yaani GPA kuanzia 3.5 inakua nzuri kwako hata kama utaajiriwa na mtu au taasis ambayo haitaki GPA kubwa.
Kwa...
Ni zaidi ya Mwezi sasa Baraza la Madaktari Tanzania (MCT) limebadilisha mfumo wake, sasa website yake imekuwa ina changamoto katika uombaji wa leseni mpya au ku renew ili ku-practice kwenye mwaka...
Kwa sisi watumishi wa umma tunaotumia mfumo wa ESS, katika kipengele cha mikopo na tulionufaika na mikopo ya elimu ya juu.
Bodi ya mikopo elimu ya juu HESLB wamekua na kero ya kutokuruhusu...
MImi ni kijana Mtanzania mwenye umri wa miaka kati ya 30-40. Sasa nimekua nikisikia kua St Peters kuna watu wazito ingawa kwa kukadiria itakua ni watu wa usalama hivyo nilikua naomba kazi hapo...
Mtu wa kubadilishana kituo cha kazi anahitajika, mimi nipo Dodoma Mpwapwa DC.
Kituo ni kizuri, mazingira mazuri, maji yapo, usafiri upo 24hrs. Wa kubadilishana nae awe mikoa ifuatayo;
1. Iringa...
Habari guys?
Ndugu zangu, kamanda wenu Keyboard Warrior nataka kuingia serikalini.
Sasa miezi kadhaa iliyopita nilifululiza sana kutuma maombi ya kazi AJIRA PORTAL, leo nimechungulia nimekuta...
Anahitajika Mwalimu wa Physics
Tunatafuta mwalimu wa Physics
Vigezo: Awe amemaliza chuo kikuu chochote nchini Tanzania. Kwa mawasiliano zaidi.+255763855365
Asanteni
Habari ndugu, mimi ni Mwalimu Jalmashauri ya Wilaya ya Kwimba iliyopo mkoa wa Mwanza
Hii halmashauri Ina changamoto sana, hailipi pesa za kujikimu kwa watumishi wapya 2026.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.