Jukwaa la Ajira na Tenda

Fuatilia nafasi mbalimbali za kazi zilizotumwa na wanachama wetu. Share details, NO Hotlinking please!

On JF:

Anonymous
Narudia kuwaonya kama rafiki yenu, ndugu wa karibu.. usije kurogwa kukopa huo mkopo wao kama utakuwa na shida sana na ikakulazimu kukopa mara 100 bora uuze hata kitanda chako au godoro.. Huu...
7 Reactions
11 Replies
762 Views
Anonymous
Mimi ni mtumishi wa Halmashauri ya Nsimbo. Napenda kuwasilisha kero yangu kuhusu utekelezaji wa mfumo wa ESS (Employee Self Service) ambao ulianzishwa kwa lengo la kurahisisha na kuboresha huduma...
0 Reactions
10 Replies
510 Views
Anonymous
Wilaya ya Tunduru Mkoani Ruvuma tunakabiliwa na uhaba mkubwaa wa Watumishi wa afya inayosababisha kufanya kazi kuliko inavyotakiwa, mfano tunakosa hata muda wa kuwa na jamii, hali hiyo inatufanya...
0 Reactions
5 Replies
252 Views
Nilikuwa naaply loan kwenye mfumo wa ess lakini sijafanikiwa kusubmit kwa FSB nikiwa nimejaribu zaidi na zaidi ila alifanikiwa kuletewa code ili niendelee. Shida itakuwa nini wakuu? Naomba kusaidiwa
2 Reactions
5 Replies
255 Views
Anonymous
Taasisi ya Chuo cha City College Mikwambe kipo Kigamboni, Mikwambe, Dar es Salaam., walituita kufanya kazi ya kusahihisha mitihani na walisema wangetulipa baada ya kazi kuisha, lakini tangu mwezi...
2 Reactions
6 Replies
236 Views
Anonymous
HABARI JAMII FORUM. Poleni na majukumu naomba utupazie sauti sisi Watumishi wa Nzega DC tumeajiriwa tangu mwaka 2024 ila mpaka leo tunazungushwa kupewa barua zetu za uthibitisho tumemuuliza mpaka...
0 Reactions
1 Replies
170 Views
Salaam Wana jamvi, swali ni kama linavyo jieleza. Nilifanikiwa kuingia oral ya nafasi ya ACCOUNTS OFFICER II iliyofanyika tarehe 05.04.2025, najua Kuna wajuzi ambao Wana za "ndaaani" kuhusu ni...
5 Reactions
96 Replies
7K Views
Anonymous
Huyu Mkurugenzi ndio amekuwa kipingamizi kikubwa cha wafanyakazi waliofanya vizuri kwenye tathmini ya utendaji kazi ya mfumo wa PEPMIS kupanda madaraja wanayostahili. Pia tangu ahamie kwenye...
1 Reactions
5 Replies
182 Views
Tumejaribu kuingia kila account ya Mtumishi hapa job ila hii reason kwenye issue ya uhamisho haionekani, Je wameiondoa kwenye mfumo kwa sasa .? "To support my elderly parent(s)
1 Reactions
9 Replies
180 Views
Tukutane hapa tupeane experience, waliowahi kufanya Interview written ya ACCOUNTS OFFICER II kwa njia ya mtandao.
1 Reactions
3 Replies
346 Views
Yaani unakuta kazi inataka Degree ya HRM unafika na cheti chako cha Degree na Matokeo yake, Watumishi wa Secretariate wa Ajira wanakuzuia kufanya usaili eti mpaka ulete vyeti vyote vya ngazi ya...
0 Reactions
7 Replies
373 Views
Anonymous
Nilihitimu degree kwenye Chuo cha SUA, Kozi ya Agricultural Investment and Banking, kozi mpya ilianzishwa Mwaka 2020, Mwaka 2023 ilitoa Wahitimu kwa mara ya kwanza. Mimi nilihitimu Mwaka 2024...
0 Reactions
0 Replies
240 Views
Kulingana na tangazo la ajira za ualimu la tarehe 18 Oktoba 2025 _____________________________ Walioitwa kwenye usaili VERSUS wanaohitajika kujaza nafasi husika ***********************...
3 Reactions
19 Replies
402 Views
Anonymous
Kwanini baadhi ya watumishi wa umma wanaajiriwa hela ya kujikimu wanapewa siku 7. Standing order inasema siku 14? Huu ni wizi na kutokutenda haki.
0 Reactions
0 Replies
95 Views
Habari naitwa Aisha nipo Dar es salaam nahitaji kazi Elimu ni diploma Nasoma Bandari College naendelea bado sijamaliza.. Nina uzoefu wa kazi za hoteli, Sheli, duka, na receptioniat ukweli...
3 Reactions
3 Replies
197 Views
Habari wakuu, Naomba kusaidiwa kujua maswali muhimu yanayoulizwa kwenye nafasi tajwa hapo juu. Kesho ndio siku ya usahili pale chuo cha Mwl Nyerere. Naamini hapa JF hakuna linaloshindikana. Hata...
0 Reactions
2 Replies
3K Views
Anonymous
Mimi nilienda kufanya usaili wa TA tarehe 14.03.2026 nilikuwa shortlisted kwenye mfumo na sifa ilikuwa ni Degree ya HRM sasa nilipo fika nilikuwa na cheti cha degree na transcript, cheti cha form...
0 Reactions
1 Replies
216 Views
Habari za Furahi Day!! Baada ya serikali kutoa kibali cha ajira za walimu takribani 11,015, kupitia ajira portal dirisha la maombi lilifunguliwa na maombi yakafanywa. Baada ya maombi kupitia...
2 Reactions
52 Replies
15K Views
Back
Top Bottom