Vuitton_7
Member
- Oct 28, 2017
- 29
- 12
Habari Member wa Jf
Mimi ni Kijana kutokea Mbeya (29) nina Shahada ya Uchakataji na Uchenjuaji Madini
(Metallurgy and Mineral Procesing Engineering)
Ambapo naweza kufanya kazi kwenye:
- Plants za uchenjuaji (kama operator), Viwandani pamoja na kwenye maabara za madini.
Pia nina ujuzi katika field nyingine kama:
- Computer application pamoja na Graphic designing.
- Uzoefu kwenye industry ya mining (Small scale) - mwaka 1.5