Msaada: Industrial Engineer natafuta Kazi/Ajira

Baba Mtakatifu

JF-Expert Member
Dec 31, 2017
1,324
2,435
Habari zenu wakuu, Napenda kujitokeza kwenye jukwaa hili kwakuwa naamini humu kuna watu wafani mbalimbali na wenye connection mbalimbali.

Umri wangu ni Miaka 32
Ni mkazi wa Dar es Salaam
Nina uzoefu katika fani mbalimbali kama:

-Engineering Maintenance.
-Manufacturing and Production.
-Machine and Equipments installation.
-Material Engineering and Management.
-Industrial Healthy and Safety.
-Engineering Sales.
-Warehouse Management and Inventory Control.
-Logistics and Transportation.

Pia ninaujuzi na uzoefu katika Software zifuatazo:-
-Design Software: AutoCAD, SolidWork.
- Manufacturing software:Computer Aided Manufacturing(CAM)
-Simulation Modelling Software: SIMUL8.
-Automation and Robotics Softwares.
- Computer Programming: Object Oriented Programming (OOPs).

Naomba mwenye connection au anehitaji wa fani hizo au nyingine zinazousiana na hizo awasiliane nami kwa email ifuatayo.
betshebawambura99@gmail.com

Natanguliza shukrani zangu za pekee kwenu wapendwa.
 
Hela ya connection au hela ya nini?
Nilitaka nikupee namba moja hivi ubahatishe,,nimeicheck kwenye simu hii haipo,sorry,kuhusu hela,nilikuwa nachomekea tu,
Nikiipata namba ntakupa,huyo boss ana viwanda viwili vitatu labda anaweza kuwa na nafasi
 
Mzee CV yako imeshiba Sana kibongobongo figisu nyingi mno Kama Ni boss wa kitengo fulani Ni ngumu Sana kukupa mchongo kwa kuamini mbeleni unaweza kuwa boss wake.

Anyway Mimi kwa ushauri wangu jaribu kuapply moja kwa moja kwenye industries mbalimbali Kama migodini na katika mid industries lakini pia unasoma na situation wanataka watu wa level gani then unapunguza baadhi ya sifa ulizonazo ambazo utaona unnecessary.

Ni mtazamo wangu, Nakutakia mafanikio mema Kaka!
 
Nashkuru sana mkuu, Naamini atakushukuru kwa kumtafutia mfanyakazi mzuri
Nilitaka nikupee namba moja hivi ubahatishe,,nimeicheck kwenye simu hii haipo,sorry,kuhusu hela,nilikuwa nachomekea tu,
Nikiipata namba ntakupa,huyo boss ana viwanda viwili vitatu labda anaweza kuwa na nafasi
 
Nashkuru kwa ushauri wako kaka, Ila kuhusu maswala ya vyeo Mimi si muumini wa hayo, Mimi huwa Naamini katika kufanya kazi kwa ufanisi na ubunifu na si kwa kuwa na vyeo...Pili kuhusu kupunguza baadhi ya vitu hapo nimekuelewa ingawa hapo ndo nimejaribu kupunguza na kumention vile muhimu tu ambavyo ninauzoefu navyo. Yote kwa yote nikushkuru sana kwa ushauri wako mkuu.
Mzee CV yako imeshiba Sana kibongobongo figisu nyingi mno Kama Ni boss wa kitengo fulani Ni ngumu Sana kukupa mchongo kwa kuamini mbeleni unaweza kuwa boss wake.

Anyway Mimi kwa ushauri wangu jaribu kuapply moja kwa moja kwenye industries mbalimbali Kama migodini na katika mid industries lakini pia unasoma na situation wanataka watu wa level gani then unapunguza baadhi ya sifa ulizonazo ambazo utaona unnecessary.

Ni mtazamo wangu, Nakutakia mafanikio mema Kaka!
 
Mzee CV yako imeshiba Sana kibongobongo figisu nyingi mno Kama Ni boss wa kitengo fulani Ni ngumu Sana kukupa mchongo kwa kuamini mbeleni unaweza kuwa boss wake.

Anyway Mimi kwa ushauri wangu jaribu kuapply moja kwa moja kwenye industries mbalimbali Kama migodini na katika mid industries lakini pia unasoma na situation wanataka watu wa level gani then unapunguza baadhi ya sifa ulizonazo ambazo utaona unnecessary.

Ni mtazamo wangu, Nakutakia mafanikio mema Kaka!
Ushauri mzuri
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom