Jukwaa la Ajira na Tenda

Fuatilia nafasi mbalimbali za kazi zilizotumwa na wanachama wetu. Share details, NO Hotlinking please!

On JF:

Habari za wakati huu wapendwa, Mimi ni binti wa miaka 27 Ninapenda kuwataarifu kuwa natafuta nafasi ya ajira kama mwalimu wa watoto wa awali (daycare) hapa Bukoba Nimekuwa na uzoefu wa zaidi ya...
3 Reactions
6 Replies
469 Views
Anonymous (f836)
Mimi nimesoma fani ya misitu katika chuo cha misitu Olmotonyi kilichopo Arusha nimehitimu mwaka 2019, jana tarehe 23/03/2026 tumefanya usaili wa kwa ajiri ya nafasi za kazi zilizo tangazwa mwezi...
0 Reactions
3 Replies
225 Views
Anonymous
Ninaomba mtusaidie kupaza sauti kuhusu suala la kupata pesa za kujikimu sisi ajira mpya upande wa TAMISEMI Sumbawanga Municipal Council. Nimepata ajira yangu huku lakini ninayoyasikia na kuyaona...
0 Reactions
7 Replies
178 Views
Wakuu kwema. Endapo nimeajiriwa kama Mtendaji wa kijiji chini ya Tamisemi, Nikaomba nafasi ya kazi jada ya uuguzi chini ya wizara ya afya, je nitaweza kuhama kutoka tamisemi kwenda wizara ya...
1 Reactions
19 Replies
1K Views
Anonymous
Natokea Halmashauri ya Tanganyika Mkoa wa KATAVI, kuna tatizo kwenye malipo ya likizo kwa Watumishi wa Serikali, mfano likizo ya December 2024 kuna Watumishi hawajalipwa pesa hata mia, cha ajabu...
0 Reactions
1 Replies
129 Views
Anonymous
Walimu wa Shule za Sekondari katika Halmashauri ya Wilaya ya Singida (Singida DC) tuna malalamiko yetu kadhaa hasa yanayohusu kutolipwa malimbikizo ya fedha za kujikimu kwa muda mrefu. Tatizo la...
0 Reactions
0 Replies
116 Views
Anonymous
Kampuni zinazo usika na ujenzi kama CJIS na CRJ za kichina zinapewa tenda na Serikali yetu ya Tanzania ili zijenge miundombini na zitoe ajira. Lakini zinafukuzisha sana wafanyakazi kwa sababu...
0 Reactions
1 Replies
147 Views
Anonymous
Kuna Taasisi inaitwa Fanikiwa Microfinance inajishughulisha na utoaji wa mikopo, Makao Makuu yapo Dar es Salaam na pia wana matawi mengi Mikoani. Alipoingia Rais Madarakani waliambiwa waongeze...
1 Reactions
18 Replies
499 Views
  • Redirect
Anonymous
Jengo la RITA Tower lililoko Posta Dar es Salaam, naona wameamua kulisahau mpaka siku maafa yatokee ili waunde tume. Jengo lile lina ghorofa 26, mnaweza kuelewa limebeba watu wengi kiasi gani...
0 Reactions
– Replies
– Views
Kuna jambo linanisumbua kichwa siku nyingi naomba niwashirikishe wadau wenzangu.. Mchakato wa Ajira za Utumishi kwa hivi karibuni umerahisishwa upande wa Written interviews kwa maana ya Kwamba...
0 Reactions
0 Replies
183 Views
Anonymous
Hili suala la NSSF kuzuia mtu kupata mafao yake, ikiwa amemaliza mkataba wa kazi, au kufukuzwa, wanaleta hoja ya ndani ya mwezi utakua umepata kazi nyingine na inahusika na NSSF, si sawa sababu...
7 Reactions
38 Replies
2K Views
Kwa maoni yangu kuliko kuchukua vimikopo vidogo vidogo vya kulimbikiza Bora nichukukue pesa ndefu miaka 10 kabisa au zaidi nifanye jambo linaloeleweka. Ukiona wale waliokopa na wakafanya ujenzi...
7 Reactions
57 Replies
1K Views
Mnatuita vizuri tuu.. Tunafika mnatukaribisha vizuri kabisa. Ila baada ya kufika ndani lugha inabadilika as if jamaa ajui kabisa kiswahili... Lugha inaenda deep zaidi mpaka unajiuliza mbona...
12 Reactions
77 Replies
1K Views
Anonymous (f836)
Mimi natokea Halmashauri ya Tanganyika Mkoa wa KATAVI, kuna tatizo kwenye malipo ya likizo kwa Watumishi wa Serikali, mfani likizo ya December 2024 kuna Watumishi hawajalipwa pesa hata mia, cha...
3 Reactions
5 Replies
154 Views
  • Redirect
Anonymous (f836)
Mimi natokea Halmashauri ya Tanganyika Mkoa wa KATAVI, kuna tatizo kwenye malipo ya likizo kwa Watumishi wa Serikali, mfani likizo ya December 2024 kuna Watumishi hawajalipwa pesa hata mia, cha...
3 Reactions
– Replies
– Views
Nani anajua range ya Mshahara kwa kampuni tajwa ....Kwa nafasi hyo..wenye uzoefu..?
1 Reactions
1 Replies
184 Views
Anonymous
Ajira Mpya Shirika la Utangazaji Tanzania (TBC) hatujalipwa hela ya kujikimu, tukiuliza wanatuamia watatulipa, lakini kwa experience iliyopo posho ya kujikimu Watu hawalipwi hadi Mwaka unapita...
7 Reactions
47 Replies
825 Views
Anonymous
Kuna Halmashauri iliyopo mkoa wa Kigoma, suala la malipo ya likizo haipewi kipaumbele na ukiomba malipo yanakatwa bila kupewa sababu ya msingi. Unachoambiwa ni ujaze Vendor Form alafu unaingiziwa...
2 Reactions
5 Replies
323 Views
Nina miaka 25 Elimu ni shahada ya maendeleo ya jamiii. Mahali ni Dar es salaam Naombeni KAZI yoyote ndugu zangu. Ya kutumia nguvu akili nk Ila isiwe kazi haramu hata kama ni haramu niambie...
8 Reactions
30 Replies
435 Views
Habari za wikiendi? Eid Mubarak Shule ya msingi ya private iliyopo Pongwe,Tanga jiji. 1. Inatafuta mwalimu mkuu mwenye uzoefu wa kazi si chini ya miaka 3 2. Mwalimu wa darasa la kwanza na la...
1 Reactions
3 Replies
193 Views
Back
Top Bottom