Jukwaa la Ajira na Tenda

Fuatilia nafasi mbalimbali za kazi zilizotumwa na wanachama wetu. Share details, NO Hotlinking please!

On JF:

Anonymous
Napenda kuwasilisha malalamiko yangu hadharani kuhusu kufungiwa kwa akaunti yangu katika mfumo wa Mamlaka ya Ajira Tanzania (Ajira Portal) tangu mwezi Septemba 2025, bila kupatiwa maelezo ya kina...
1 Reactions
2 Replies
266 Views
Watumishi walioajiriwa mwaka 2024, Halmashauri ya Wilaya ya Mkuranga mkoani Pwani hawajalipwa pesa ya kujikimu hadi sasa 2026. Pia soma ~ Mkuranga DC wametulipa Fedha za Kujikimu sisi Ajira Mpya
1 Reactions
3 Replies
171 Views
Habari wanajukwaa? Nina Bachelor of science in physics (Sio ualimu). Kutokana na ugumu wa ajira na ugumu wa maisha kiujumla, nimekuja mbele zenu kutafuta kazi. Ninauzoefu wa kufundisha kwa miaka...
2 Reactions
17 Replies
1K Views
Nimefuatilia nikagundua ni fani inayolipa na isiyohitaji ujuzi mkubwa sana Au mnasemaje Wadau?
2 Reactions
14 Replies
274 Views
Habari za wakati ewe Boss au dereva mwenzangu. Naamini chuki husababishwa na hasira basi nakuomba hiyo chuki itoe kwangu unipe connection ya Kazi ya udereva. Mimi ni professional Driver...
2 Reactions
22 Replies
510 Views
Natafuta mfanyakazi wa ndani Habari za muda huu ndugu zangu, jamaa na marafiki. Kutokana na mazingira ya kazi kuwa mengi, nimeamua kutafuta msaidizi wa kazi za ndani (House Manager) ambaye...
13 Reactions
68 Replies
1K Views
Anonymous (c723)
Kuhusu swala la uthibitishwaji kazini Halmashauri ya Wilaya ya Mtama, watumishi wa idara mbalimbali wapo ambao wana miaka miwili, na mmoja mpaka sasa hajathibitishwa. Watu wa Human Resources...
0 Reactions
0 Replies
118 Views
Anatafutwa binti wa kufanya kazi za ndani katika familia ya mtu mmoja, kijana wa kiume mtumishi anayejiheshimu, kijana ana umri wa miaka 27, hana familia. Anaishi Manzese kwenye chumba kimoja cha...
4 Reactions
10 Replies
315 Views
Nimeona Kuna Chuo Kipya Cha Vinyozi Tanzania,Kipo Dar es Salaam, Kinondoni.
1 Reactions
2 Replies
157 Views
Anonymous
Sisi ajira mpya Ushetu Mkoani Shinyanga tuliajiriwa Mwaka jana (2025) mwezi wa 2 lakini hadi leo hii hatujapata pesa yoyote ya kujikimu wala hatujathibitishwa kazini! Tukienda halmashauri...
0 Reactions
2 Replies
168 Views
Anonymous (c723)
Mimi ni mtumishi wa mkataba na hudumu katika Kituo cha Afya cha Sinza Hospital (maarufu kwa jina la Hospitali ya Sinza Palestina) kilichopo Wilaya ya Ubungo, Dar es Salaam. Kero yangu ni kwamba...
1 Reactions
3 Replies
279 Views
Anonymous (c723)
Mkurugenzi wa Mamlaka ya Maji Arusha halipi malipo ya watumishi kwa wakati. Watumishi wanalalamika kwa kukaa na madokezo miezi kadhaa bila kulipa na hata akipigiwa simu anajibu 'msinifundishe...
1 Reactions
2 Replies
151 Views
Anonymous (c723)
Imekua ni kero kubwa kwa kuwa malipo anayolipwa mtumishi kwa ajili ya likizo hayaendani kabisa na gharama za nauli za mabasi kwa sasa. Fedha ni ndogo na ukiuliza maafisa utumishi wanajibu kuwa ni...
1 Reactions
1 Replies
267 Views
Mkono mtupu haulambwi wakuu Sasa Nina zawadi ya laki Moja kwa mtu ambae ataniunganisha na KAZI yoyote ya laki tatu mpaka laki nne. Location Dar es salaam Kazi yoyote. Elimu: shahada. Ahsante
3 Reactions
6 Replies
228 Views
Ndugu zangu wana JF. Mambo vipi? Mimi ni Mhitimu wa Chuo miaka mitatu nyuma, baada ya kuhitimu niliamua kurudi mkoani kwetu kupampana ila nikatoka kapa. Kwa hiyo nimeamua kurudi Dar es Salaam...
4 Reactions
13 Replies
279 Views
Anonymous
Kampuni ya ulinzi ya Garda World imeendelea kukiuka haki za wafanyakazi wake kwa kushindwa kuongeza mishahara. Mbali na hilo, kampuni hiyo imekaa kimya kabisa kuhusu utekelezaji wa agizo la...
0 Reactions
2 Replies
260 Views
Kama uko Zanzibar unguja na unaweza kazi nicheki 0624254690 Kazi ni kesho kuchimba msingi! Malipo 30,000 Chakula utapewa 2,000 maana hakuna sehemu wanauza chakula mchana. Eneo ni karibu na...
8 Reactions
28 Replies
454 Views
Anonymous
Changamoto katika Halmashauri ya Wilaya ya Ikungi Mkoani Singida, imekuwa tatizo kubwa sana kwa watumishi hasa walimu kusubiri kupitishiwa malipo mbalimbali katika Idara za Elimu, Afya. Mfano...
0 Reactions
6 Replies
276 Views
Mimi kuna kitu huwa kinanichanganya hususani katika suala la kuomba kazi utaambiwa vigezo ni namba za Nida au kitambulisho cha taifa lakini bado utaambiwa ulete barua mbili za wadhamini.. Sasa...
1 Reactions
9 Replies
345 Views
1.Ni maswali gani yanaulizwa In practical na written.?
0 Reactions
0 Replies
104 Views
Back
Top Bottom