Kampuni ya Punch company limited
Inatanganza nafasi 500 kwa wachumi, HR, ACCOUNTANT, WATU WA MASIJALA KWA AJILI YA KUPUNCH LAANA ZILIZOKO KWENYE JAMII MAANA UHURU HAWAKUTENGENEZA KITENGO CHA...
Habari zenu wana jamvi. Mimi ni kijana wa kiume natokea mkoa wa Arusha. Ninaomba kwa yeyote mwenye connection ya Kazi yoyote halali kwa mkoa wa Arusha tupeane. Elimu yangu in Shahada ya Uhasibu na...
Mambo vip wakuu
Kuna project inataka kuanza wiki ijayo inahusu kusambaza ubuyu wa jumla na rejareja mtaani. Kwa ambaye Hana ramani, ramani ndio hiyo hapo. Unapewa target ya mzigo, ukiisha unalipwa...
Urgent requirement
Burque East Africa is currently looking to fill the below vacant position:
1: Sales interns
These should have completed bachelor degree,fresh graduates will be given first...
Natafuta Chef mwenye uzoefu mkubwa waapishi mbalimbali ya mbuzi, kuanzia choma, foil mpaka supu.
Kama ni eneo lako naomba nitumie SMS kwa 0759 819 819.
NB: Kituo cha kazi ni Bunju B na malipo ni...
POST DETAILS.
EMPLOYER: CORIS COMPANY LIMITED
POST: CASHIER
QUALIFICATIONS;
Diploma in Accounts or any related field
Send your CV and Application letter to;
salescoris@gmail.com.
Or bring it to...
Habari wakuu,
Naomba msaada kwa mtu anayezifahamu lobbying firms zinazofanya kazi hapa Tanzania, hasa Dar es Salaam na Dodoma. Na sana sana zile ambazo ziko active kwenye sera mbalimbali.
Asanteni!!
Mimi naitwa Emmanuel Kidasi mwenye umri wa miaka 31 ni fundi umeme, nimesoma elimu yangu ya secondary na kisha kujiunga na nafunzo ya VETA kisha kuhitimu mwaka 2010, nimefanyakazi sehemu...
Habari za wakati huu ndugu zangu, Mimi ni dereva ambaye pia nina uzoefu wa kazi za sales na marketing. Nina leseni ya uendeshaji yenye madaraja D, E, C1,C2,C3,B.
Haiba yangu ni mtu mchangamfu...
Nawasalimu kwa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania
Kama kichwa cha habari kilivyo hapo juu natafuta mwalimu mzuri aliyebobea katika ufundishaji kwaajili ya kumfundisha mwanangu ambaye mwakani...
Mlioomba kazi kupitia recruitment portal ya Tz mnipe muongozo mmewezaje kuikamilisha profile maana leo ni siku ya pili nakwama plus profile picture inagoma kuaupload
Wakuu kwa wale tuliomba nafasi za kazi kwa ICT OFFICER II (COMPUTER SYSTEM ADMINISTRATION) ya TRA ,tupeane Nondo .
1. Maswali ya kusoma
2. Pepa huwa zinakuwaje .
Karibuni
Habar za majukumu wana forum kwa majina naitwa Twaha Mussa ninatafuta gari kwa ajili ya taxi yaani Uber Nina account zote Uber na bolt na ziko active kwa yeyote atakaye hitaji dereva napatikana...
Habari ya leo wakuu,
Mimi ni mjasiriamali ambaye nna kampuni inayo jihusisha na utengenezaji wa bidhaa za usafi
Ni bidhaa zinazo tatua changamoto ya uchafu na madoa sugu
- Stain Remover inayo...
Habari zenu ndugu zangu,
Mimi ni kijana mchapakazi, natafuta kazi udereva yani Uber na Bolt. Nina account yangu ipo active pia nina leseni ya udereva ninahitaji gari ili tufanye biashara na...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.