Dereva mwenye uzoefu wa kazi za Sales na Marketing, naombeni kazi

Mugabe Jr

Senior Member
Aug 19, 2020
160
287
Habari za wakati huu ndugu zangu, Mimi ni dereva ambaye pia nina uzoefu wa kazi za sales na marketing. Nina leseni ya uendeshaji yenye madaraja D, E, C1,C2,C3,B.
Haiba yangu ni mtu mchangamfu, ninayejituma, muaminifu, mbunifu na mwenye ushawishi kwa wateja haswa. Hivyo kupitia mimi mauzo ya kampuni yataimarika maradufu.

Niko mbele yenu kuomba msaada wa nafasi ya kazi ambapo nitafanya majukumu yote nikiwa kama dereva na afisa masoko kwa wakati mmoja.

Iwe kampuni za gas
Vinywaji
Hata bidhaa nyinginezo

Naomba mwenye nafasi ya kazi au connection itakayonisaidia kupata kazi naomba anisaidie.

Niko tayari kuanza kazi hata kesho.
Na kipaumbele changu kitakuwa ni kuhakikisha mauzo ya bidhaa yanaongezeka maradufu, kwa kuongeza wateja wapya kila siku bila kuwapoteza wateja wa awali.

KWA SASA NAPATIKANA MWANZA NDUGU ZANGU. MUNGU AENDELEE KUWABARIKI.
 
Sent from my TECNO K7 using JamiiForums mobile app
Nenda zoom wanatuma kazi izo

Sent from my SM-N900L using JamiiForums mobile app
 
Habari za wakati huu ndugu zangu, Mimi ni dereva ambaye pia nina uzoefu wa kazi za sales na marketing. Nina leseni ya uendeshaji yenye madaraja D, E, C1,C2,C3,B. Haiba yangu ni mtu mchangamfu, ninayejituma, muaminifu, mbunifu na mwenye ushawishi kwa wateja haswa. Hivyo kupitia mimi mauzo ya kampuni yataimarika maradufu.

Niko mbele yenu kuomba msaada wa nafasi ya kazi ambapo nitafanya majukumu yote nikiwa kama dereva na afisa masoko kwa wakati mmoja.

Iwe kampuni za gas
Vinywaji
Hata bidhaa nyinginezo

Naomba mwenye nafasi ya kazi au connection itakayonisaidia kupata kazi naomba anisaidie.

Niko tayari kuanza kazi hata kesho. Kipaumbele changu kitakuwa ni kuhakikisha mauzo ya bidhaa yanaongezeka maradufu, kwa kuongeza wateja wapya kila siku bila kuwapoteza wateja wa awali.

KWA SASA NAPATIKANA MWANZA NDUGU ZANGU. MUNGU AENDELEE KUWABARIKI.
 
Angalia hilo tangazo wasiliana nao ni kampuni kubwa ya gesi ya wazawa makao makuu yako kinondoni bara bara ya kwenda makaburini opposite na mskiti mkubwa wa bakwata

Screenshot_20210912-105058.jpg
 
Habari za wakati huu ndugu zangu, Mimi ni dereva ambaye pia nina uzoefu wa kazi za sales na marketing. Nina leseni ya uendeshaji yenye madaraja D, E, C1,C2,C3,B. Haiba yangu ni mtu mchangamfu, ninayejituma, muaminifu, mbunifu na mwenye ushawishi kwa wateja haswa. Hivyo kupitia mimi mauzo ya kampuni yataimarika maradufu.

Niko mbele yenu kuomba msaada wa nafasi ya kazi ambapo nitafanya majukumu yote nikiwa kama dereva na afisa masoko kwa wakati mmoja.

Iwe kampuni za gas
Vinywaji
Hata bidhaa nyinginezo

Naomba mwenye nafasi ya kazi au connection itakayonisaidia kupata kazi naomba anisaidie.

Niko tayari kuanza kazi hata kesho. Kipaumbele changu kitakuwa ni kuhakikisha mauzo ya bidhaa yanaongezeka maradufu, kwa kuongeza wateja wapya kila siku bila kuwapoteza wateja wa awali.

KWA SASA NAPATIKANA MWANZA NDUGU ZANGU. MUNGU AENDELEE KUWABARIKI.
 
natafuta Gari ambayo nitkuwa na leta hesabu iwe private au commercial am confortable with it kwaio mwenye Gari naomb anichek kupitia no hii 0628729873
nina vigezo vyote na uzoefuu juu yake naombeni ushirikiano wenu
 
Niko mwanza Dereva muaminifu, nina leseni pia naomba kama kuna mmiliki wa daladala (hiace) tufanye kazi ndugu zangu. Uwa nafanya day worker baadhi ya madereva uwa wananiachia gari mara moja moja.

Hivyo naomba kama kuna mtu ana hiace (daladala) tufanye kazi ndugu zangu.

Au kwa yoyote mwenye connection ya kunisaidia kupata gari (daladala) mkoani mwanza anishike mkono waungwana. Nisaidieni ndugu zangu.
 
Huwa baadaye mnaanza kuzingua Mara hii spear imeharibika,Mara majembe Ile njaa zikiisha Isha. Ila saivi unaongea lugha nzuri ya kibinadamu baadaye utaongea Kama mtu ni suala la muda.
Ila kazi utapata.hii ni asili ya binadamu huwezi kupingana.
Ila ukiwa dereva mzuri usiye na tamaa utapata vya kwako.
Si unaonaga ukishamaliza shida kwa mdada mtamu unamuona wa kawaida Sana.
Jitahidi upige kazi upate kula jasho lako halali na sio.
Binafsi hiace ni kazi nzuri sema shida iko kwa dereva ama boss akamvuruga dereva akipita kwa shimo ni kufukia anadai anamkomoa boss Mana hamthami ni
 
Ni kweli kiongoz, ila siko hivyo Naiheshimu sana kazi inayonipa kula na vilevile naheshimu sana mali za watu maana hujui mtu amepitia mangapi mpaka kununua hizo gari. Siko hivyo bosi nazijua ethics za kazi na kuzizingatia sana
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom