BOT Interview: Aptitude Test (legal officer position) naomba kujuzwa maswali yake

Maswali ya professional yako watauliza. Jiandae sana mzee. Hawana mchezo kabisa wale jamaa
nlvoambiwa aptitude, nkajua n kama zile nazokutana nazo mara kwa mara mtandaon, mweeeeee, nimekutana na maswal ya career, na hesabu hzo..
so jamaa akomae na maswal ya career
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom